Tahadhari matapeli:0767149862 na 0688972499.

Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,975
6,448
jamani wapendwa kuweni makini na no.hizo ni matapeli nimenusirika kuibiwa.
 
Sina uhakika, ila nahisi jamaa kalizwa zile za Job seekers unatuma application sehemu hafu unaletewa msg eti "tunaenda kupitia majina ya application kwa nafasi xxxx kampuni xxxz ulioomba. Kama.vipi tuma mpesa kwenye namba ***** tsh **** hafu ukipata kazi utamalizia tsh *****."

au sio mkuu?
 
jamani wapendwa kuweni makini na no.hizo ni matapeli nimenusirika kuibiwa.

hakuna kitu umesaidia hao matapeli wana namba zaidi ya 2000 wakishatapeli wanatupa line.

cha muhimu ungesema vile ulivyotapeliwa ndio ungesaidia
 
Back
Top Bottom