Tahadhari: Magari ya Usalama wa Taifa kutanua wrong side kibabe Tutarajie ajali mbaya zinazozuilika

We jamaa unajulikana ni polisi tena usiye na elimu nzuri hakuna taifa lisilo na ushushu bila hao taifa lingekuwa la mahasi kila siku na sidhani kama hata ww ungekuwa upo bado mtaani na vigwanda vyako vya kaki na Hv mnavyo penda rushwa mnauzana mpaka wenyewe kwa wenyewe hujiulizi kwa nn kibiti walikuwa wanakufa polisi tu kwa sababu huko kuna uozo mwingi wa kutumia katiba vibaya kwa kuwasingizia watu kesi mpaka wanabaki na visasi japo kuwa wapo polisi wazuri ila wa chache sana mm ukiniambiaa nichukue polisi na uwt nita chagua uwt coz wa nani dhamu ukizingua hawakuachi hata kama ni wakwao alafu jidanganye kusema uwt ni maraia kumbe ujui wapo mabosi wako,kuanzia igp,cdf,mpaka watembeza karanga mpaka mkeo,baba yako,mama yako,house girl wako sasa we jichanganye alafu uone u constable wako kama utakuokoa hata marekani ipo pale coz ya taa sisi mbili muhimu CIA na us army.si polisi department baadae sana tena baada ya kuona mapungufu ya polisi waka anzisha FBI,
itakua moja ya ndugu zako wapo kitengo Mana sio kwa povu hilo
 
Alafu ni Tanzania pekee wananchi wanasaidia wahalifu matandaoni kutoa details za viongozi wao wengi ni vichwa maji kwa mfano humu jukwaani hamjui nani ni nani na ka anzisha mada kwa kutaka nn watu wanatiririka tu kwa mfano ikisikika kesho nyumba ya huyo kiongozi imevamiwa mliotoa maelekezo wote misiseme serikali I nawaonea maana mmesaidia uhalifu ndo maana jamiiforum ilitakiwa kutoa id original za watu coz ya wajinga kama hao kwani mbona polisi wenyewe wanatanua kwanini usiandike kichwa cha habari vyombo vya ulinzi kutanua ni sahihi ili maelezo yaje kwa ujumla maana vyombo vya ulinzi vyote vinadharula
Kitengo nn
 
kuwa kitengo cha usalama, haina maana ndiyo tiketi ya kuvunja sheria bila kujali hata chembe ya ubinadam kwa raia;

Leo asubuhi nikiwa naelekea Bagamoyo, nilipofika Eneo la LUGALO Majira ya saa mbili asubuhi.
Gari tatu aina Land cruiser nyeusi zilizokuwa zimetanua Wrong side. Mbele yangu nilikuwa nimefuatana na Gari ndogo na roli, baada ya muda mwenye gari dogo mbele yangu aka-overtake lile lori na mimi nikamfuata, mwenye gari dogo ghafla akawa amelivuka roli nakurudi kushoto wakati mimi nikiwa bado ubavuni kulia mwa lori mbele yangu ndipo USO kwa USO nikaziona zile Gari tatu zikija kama Mita 15 tu mbele ndipo nikakanyaga breaks kali kiasi kwamba tulisogeleana mita moja kugongana USO kwa USO;
Wakati huo huo bodaboda tatu nazo zilizokuwa nyuma yangu nazo zilibuluzika chini na kupasuka vibaya pale chini.

Cha ajabu Wale jamaa Hata kutoa pole hawakutoa zaidi wakawa wanaforce niwapishe .

Yule jamaa anaetoaga Shingo nje nikamwambia hivi hamuoni kwamba nyie mna makosa!? Jamaa hata hawakujali wakaondoka na msafara wao kwa kukanyaga vioo vya boda boda zilizokuwa hapo chini.

Kiufupi kibabe kibabe tu, Niliwahurumia sana wenye boda boda kwa kuumia.

Hao jamaa kama wataendelea kutanua hivo watahatarisha usalama Wa wengi hata usalama wao wenyewe na magari ya serikali wasipobadilika.

Mbona enzi za kina KOMBE mambo haya kutanua kibabe hayakuwepo ? tena nakumbuka KOMBE alifuatwa na heliiopita ili kuepusha kero kama hii. kwasababu gharama ya kuendesha randcruser tatu ni kubwa kuliko ya kufuatwa na Helikopita.
KWANINI WASITUMIE HELIKOPITA KAMA WANAHARAKA?
mi nafikiri ni vizuri wakawa wanatumia na ving'ora kutujulisha watumiaji wengine wa barabara.
 
Hizo Cruiser tatu nyeusi zinatokaga maeneo ya Madale kwa Mkulu. Nimekutana nao mara kwa mara. Lakini ninayokumbuka ni ile nilikutana nao kwenye barabara nyembamba ya vumbi! Vioo vyote ni giza mpaka cha mbele huwezi kuona uso wa dereva labda mikono tu. Kwa kweli wanaendesha hovyo sana pasipo kuzingztiz sheria za barabara.
 
Kuhusu elimu yangu hata unigusi kielimu wewe jamaa, wewe ni raia tu pia ushushu ninao uzungumzia ni ule wa kuwafatilia wanaume wenzenu na sio kwaajili ya usalama wa nchi.mimi sio polisi ila napenda kazi ya polisi hivyo lazima niwe upande wao daily. That's why nawakubali sana hao majamaa.

Eti bila woga unasema uwt ni bora kuliko polisi huo ubora wa kiumbea au vipi!!
Pia naomba nikueleweshe wewe ' form 4 leaver' ktk nchi hii hakuna chombo cha dola ambacho ni bora kuliko kingine,vyote vinafanya kazi 1 ya kuhakikisha nchi ipo salama,ila nyie manyang'au mnapo haribu kazi ni pale tu mnapo acha wajibu wenu wa kikatiba na kuanza kuwafatilia(kuwachoma) wanaume wenzenu.

Naomba kapitie katiba ya nchi ambayo imeainisha vyombo vya dola then njoo hapa urekebishe huo uhalo ulio andika ya kwamba polisi sio bora kuliko Uwt.
Polisi ni kazi ya kiume,ina linda raia wote na ukiwemo pamoja na mali zako,pasipo uimara wa polisi hata huo muda ulio pata wakuweka makalio chini na kuandika uhalo usingeli upata.

Kwa watu wanao jua Dunia inaenda vp wanakuona zuzu elimu ndo una andika uhalo kama huu China ipo pale kwa intelligence ndani na nje hivyo hivyo uk,USA,so kushambulia chombo hiki ni ujinga hata jeshi linalinda raia na mali zao zuzu ww sema polisi ni kiranja wa raia law inforcement na anapiga dili humo humo kwa kubambikia watu kesi sasa hao wanaume unasema wanapigwa umbea si ni nyinyi wezi mafisadi mnaojiona mabwenyenye ndo maana una wachukia choko ww au walikubanisha waka ku umberuty nn ungesoma na elimu nzuri usinge andika usengenge wako na utakuta nabishana na James delicious hapa ngoja nikudharau umejificha kwenye keyboard mwenyewe unabishana na makonki master delicious bwana
 
Kitengo nn
Haahaa ahaa mkuu hapana ila na shangaaa watanzania wanapenda kujadili mambo yao nyeti matandaoni ktkt Dunia hii ya sasa ohoo mara everist chahali kaleta hili mara mkuu huyu anakaa hapa ndo maana Korea kaskazini ukileta huu ufala wa democracy ya hv unapigiwa bomu maana huna faida
 
Wewe ndio una makosa,utaanzaje kuovertake bila kuona mbele kuna nini?,aliyekua mbele yako aliowaona akajua atawawahi kimbembe kikaja kwako unayeovertake kwa kumfuata aliye mbele yako,huu udereva wa kununua leseni ndio shida zake hizi
Sidhani kama ana makosa. Yeye alikuwa upande wake wa kushoto na si kawaida kukutana na gari uso kwa uso kwa njia inayokwenda Tegeta
 
Kwa maelezo yako wewe ndio unamakosa huwezi kuovateki kwa kutumia hesabu ya mwenzako wa mbele...

Watu kama ninyi ni rahisi sana kusababishiwa ajali, yule wa mbele yako anaweza kukuchomekea makusudi...usirudie ..

Barabarani tunasemaga umeuziwa cheche.
Wewe nadhani hiyo barabara huifahamu
 
Wewe ndio una makosa,utaanzaje kuovertake bila kuona mbele kuna nini?,aliyekua mbele yako aliowaona akajua atawawahi kimbembe kikaja kwako unayeovertake kwa kumfuata aliye mbele yako,huu udereva wa kununua leseni ndio shida zake hizi
Huyu jamaa alikuwa upande wake wa kushoto kwa barabara mbili zinazoelekea Tegeta. Ina maana was walitoka upande was wa barabara 2 zinazoelekea Mwenge wakaingia kwenye barabara zinazoelekea Tegeta.
 
Kwa maelezo yako wewe ndio unamakosa huwezi kuovateki kwa kutumia hesabu ya mwenzako wa mbele...

Watu kama ninyi ni rahisi sana kusababishiwa ajali, yule wa mbele yako anaweza kukuchomekea makusudi...usirudie ..

Barabarani tunasemaga umeuziwa cheche.

Mkuu umekurupuka. Kama unaishi Dar na unajua bagamoyo road kuanzia mwenge mpaka tegeta Kibo usingekoment hivyo
 
Wewe ni zwazwa.

Tangu lini umewahi kuona msafara wa usalama wa Taifa ?
Kwa uelewa wako hujui usalama wa taifa ni kitu gani.. Endelea kuita watu mazwazwa ila mwisho wa siku zwazwa anajulikana kwa maandishi yake. Unaandika kwa emotions badala ya kujenga hoja kwa kuzingatia facts. Wasomaji wengine washajua nani zwazwa hapa kati etu
 
Nakupuuza.
 
We jamaa unajulikana ni polisi tena usiye na elimu nzuri hakuna taifa lisilo na ushushu bila hao taifa lingekuwa la mahasi kila siku na sidhani kama hata ww ungekuwa upo bado mtaani na vigwanda vyako vya kaki na Hv mnavyo penda rushwa mnauzana mpaka wenyewe kwa wenyewe hujiulizi kwa nn kibiti walikuwa wanakufa polisi tu kwa sababu huko kuna uozo mwingi wa kutumia katiba vibaya kwa kuwasingizia watu kesi mpaka wanabaki na visasi japo kuwa wapo polisi wazuri ila wa chache sana mm ukiniambiaa nichukue polisi na uwt nita chagua uwt coz wa nani dhamu ukizingua hawakuachi hata kama ni wakwao alafu jidanganye kusema uwt ni maraia kumbe ujui wapo mabosi wako,kuanzia igp,cdf,mpaka watembeza karanga mpaka mkeo,baba yako,mama yako,house girl wako sasa we jichanganye alafu uone u constable wako kama utakuokoa hata marekani ipo pale coz ya taa sisi mbili muhimu CIA na us army.si polisi department baadae sana tena baada ya kuona mapungufu ya polisi waka anzisha FBI,
undefinedkila kitengo wana faida katika nchi,undefinedtena sasa polisi huwa wanabaki watiifu kwa serikali mpaka dakika za mwisho,undefinedkwa ufupi polisi ni muhimu sana provided kiongozi wao aweanajitambua
 
kuwa kitengo cha usalama, haina maana ndiyo tiketi ya kuvunja sheria bila kujali hata chembe ya ubinadam kwa raia;

Leo asubuhi nikiwa naelekea Bagamoyo, nilipofika Eneo la LUGALO Majira ya saa mbili asubuhi.
Gari tatu aina Land cruiser nyeusi zilizokuwa zimetanua Wrong side. Mbele yangu nilikuwa nimefuatana na Gari ndogo na roli, baada ya muda mwenye gari dogo mbele yangu aka-overtake lile lori na mimi nikamfuata, mwenye gari dogo ghafla akawa amelivuka roli nakurudi kushoto wakati mimi nikiwa bado ubavuni kulia mwa lori mbele yangu ndipo USO kwa USO nikaziona zile Gari tatu zikija kama Mita 15 tu mbele ndipo nikakanyaga breaks kali kiasi kwamba tulisogeleana mita moja kugongana USO kwa USO;
Wakati huo huo bodaboda tatu nazo zilizokuwa nyuma yangu nazo zilibuluzika chini na kupasuka vibaya pale chini.

Cha ajabu Wale jamaa Hata kutoa pole hawakutoa zaidi wakawa wanaforce niwapishe .

Yule jamaa anaetoaga Shingo nje nikamwambia hivi hamuoni kwamba nyie mna makosa!? Jamaa hata hawakujali wakaondoka na msafara wao kwa kukanyaga vioo vya boda boda zilizokuwa hapo chini.

Kiufupi kibabe kibabe tu, Niliwahurumia sana wenye boda boda kwa kuumia.

Hao jamaa kama wataendelea kutanua hivo watahatarisha usalama Wa wengi hata usalama wao wenyewe na magari ya serikali wasipobadilika.

Mbona enzi za kina KOMBE mambo haya kutanua kibabe hayakuwepo ? tena nakumbuka KOMBE alifuatwa na heliiopita ili kuepusha kero kama hii. kwasababu gharama ya kuendesha randcruser tatu ni kubwa kuliko ya kufuatwa na Helikopita.
KWANINI WASITUMIE HELIKOPITA KAMA WANAHARAKA?
We umejuaje kama ni usalama wa taifa?
 
Kuna Hawa wengine wanapita huku Tabata Segerea Hawa ndo watasababisha ajali wakiwa wanatumia hii njia siku yoyote ile.

Yaani wanatembeza Land cruiser zao zimebatana mbili kwa mpigo wanakuwa washachukua njia nzima kinjia chenyewe Cha lami kidogo siku hiyo Niko kwenye daraja la Segerea saa mbili usiku njia yenyewe hata taa za Barabara hakuna ukiwapisha uko kwenye mtaro na hakuna reserve road useme utoke kwenye lami uwapishe ukifanya hivo uko kwenye bonde au mtaro.

Napandisha kilima tu naona full taa naamimi nikawaashia full mitaa walipoeka dim nikaona msafara waland cruiser ikapunguza mwendo ile moja ikamfata nyuma Kama sio hivo tungevaana uso kwa uso ndo wangetia akili.
 
Back
Top Bottom