Tahadhari; mafuta ya kuchakachuliwa yamemwaga vituoni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari; mafuta ya kuchakachuliwa yamemwaga vituoni!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,467
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Kwenu watanzania
  najua mna shida sana ya mafuta lakini sidhan ni muda muafaka kupewa mafuta machafu kwa shida hii
  gari la mt meru likiwa na gari lingine wakielekea mbezi nafikiri hii sehemu kila mtu anajua wanachakuchua mafuta mbaya
  hakika usiku mmoja ziliingia gari zaidi ya tatu..mafuta yakichanganywa na mafuta ya taa tukumbuke hawa hawa ndio waliokutwa na skendle la kumywesha rais mafuta machafu wakashindwa kuondoka
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Nilidhani mafuta ya taa yamepandishwa bei ili kuchakachua kusiwe na masillahi!
   
 3. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kama una mafuta ya kutosha ni bora ukasubiri walau siku mbili zipite ndio ukanunue mafuta. Mimi gari yangu moja imeharibika, jamaa wameniuzia petrol imechanganywa na diesel. Kuweni macho maana bado wana hasira
   
 4. K

  Karry JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  jamani jamani haya mambo yataisha lini?
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  tungekuwa na ufuatiliaji wa sheria wahusika ni kuwafungia leseni na kulipa gari mpya
   
Loading...