Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,919
- 31,161
Duh ni kuna ukweli hizi juice zina matatizo makubwa mwanzo nilidhani Kenya wamezipiga marufuku kwasababu za kibiashara kumbe chemical ambazo hazifahi kwa matumizi ya bianadamu zimejazwa ndani ya juice ili kupunguza gharama za uzalishaji.
Nilikuwa nanunua box moja kwa ajili ya mtoto mdogo wa baby class akawa anasumbuliwa na tezi na kukohoa mara kwa mara na vidonda vya ulimi,nikampeleka kwa Dr Kavavilla bingwa wa watoto (Pediatrician) baada ya uchunguzi wa muda mrefu akanishauri niache kumpa mtoto juice za viwandani nilipoacha huu ni mwezi wa pili / tatu tatizo limekwisha kabisa.
Nawashauri watumiaji wa juice za azam wanunue matunda masokoni na kutengeneza juice wenyewe.Nawashauri pia Azam waangalie aina ya wataalam walionao na pengine wakiweza watafute wataalamu wengine ili kuepuka kupoteza soko la bidhaa zao ndani na nje ya nchi.