Tahadhari kwa Watanzania... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari kwa Watanzania...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtoboasiri, Aug 15, 2011.

1. Mtoboasiri

Mtoboasiri JF-Expert Member

#1
Aug 15, 2011
Joined: Aug 6, 2009
Messages: 5,106
Likes Received: 94
Trophy Points: 0
...unapofikiria kufanya kitu chochote na Mkenya/Wakenya (especially Wakikuyu) fanya uamuzi ukitegemea huyo unaefanya nae hilo jambo si mtu wa kuaminika hata 10%. Then anza kumsoma uone kama ana chembe ya kuaminika.

Na kwa kuwa kwa Watanzania tuliowengi ni vigumu kwetu kumtambua Mkikuyu (kama tunavyoweza kwa Wamasai na au Waluo) basi heri kuchukua tahadhari kwa Wakenya wote. Kuna jamaa yetu Nairobi kalishwa madawa ya kulevya na partner wake Mkikuyu - na wanafahamiana siku nyingi tu - na wakamkomba kila kitu. Hawa jamaa hawakatai kuwa wao NI WEZI! In fact wanajisifia KUIBA.

2. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#2
Aug 15, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Aiseee....

Asante!!

3. zomba

zomba JF-Expert Member

#3
Aug 15, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 17,081
Likes Received: 49
Trophy Points: 0
Wana tofauti ipi na wachaga?

4. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#4
Aug 15, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 738
Trophy Points: 280
Nashukuru kwa taarifa japo utapeli wa mkikuyu mmoja hauwafanyi wakikuyu wote wawe matapeli.

5. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#5
Aug 15, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Nimepita tu! Ila nakushukuru kwa msaada wako!

6. Criss

Criss JF-Expert Member

#6
Aug 15, 2011
Joined: Mar 19, 2011
Messages: 825
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Hapo kwenye blue unamaana gani mkuu ?

7. Mtoboasiri

Mtoboasiri JF-Expert Member

#7
Aug 15, 2011
Joined: Aug 6, 2009
Messages: 5,106
Likes Received: 94
Trophy Points: 0

Better safe than sorry! Anza kufanyia utafiti badala ya kuwa Tomaso

8. Smatta

Smatta JF-Expert Member

#8
Aug 15, 2011
Joined: Nov 5, 2008
Messages: 2,343
Likes Received: 277
Trophy Points: 180
haahaha.. amepelekwa shule huyo ****. Nairobi ukija na kukaa kishambashamba lazima utafunzwa, thats a fact. Kuja huku na hako ka infiriority complex yako uone vile utatengenezwa.. mwambie huyo rafiki yako next time ajue ni akina nani anafanya urafiki nao, na asikubali drinks from strangers esp women.

9. l

lumimwandelile Senior Member

#9
Aug 15, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 153
Likes Received: 27
Trophy Points: 45
wenye mackio ckieni

10. Kijuche

Kijuche JF-Expert Member

#10
Aug 15, 2011
Joined: Aug 26, 2010
Messages: 419
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Mi nadhani wizi wa aina hiyo upo mahali popote pale. Jambo la kuzingatia ni kuwa makini hasa pale unapotaka kuestablish new relationship with strange person to U.

11. K

Karry JF-Expert Member

#11
Aug 15, 2011
Joined: Mar 26, 2011
Messages: 266
Likes Received: 1
Trophy Points: 33
kha hili balaa nalo

12. OMGHAKA

OMGHAKA Member

#12
Aug 16, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 99
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Kenya kikuyu tanzania chaga... dugu moja hii bana

13. Ritz

Ritz JF-Expert Member

#13
Aug 16, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 42,252
Likes Received: 4,674
Trophy Points: 280
Maana yake Wachagga kama vile Wakikuyu kwa wizi

14. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#14
Aug 16, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160

kuna baadhi ya watz wachaga wanawakosesha Raha sana! Ni sawa na mwarabu anapokimbia hovyo mbele ya MUISRAELI! BIG UP CHAGA PEOPLE ENDELEENI KUSONGA KWA MWENDO WA TAI KWA CHUKI ZAO INA MAANA WAMESHINDWA KUWAFIKIA KWA NAMNA YOYOTE, YOU RUN THIS COUNTRY LIKE USA RUN THE WORLD!

15. Ritz

Ritz JF-Expert Member

#15
Aug 16, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 42,252
Likes Received: 4,674
Trophy Points: 280

16. sweetlady

sweetlady JF-Expert Member

#16
Aug 16, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 16,982
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Aisee!

17. B

Bajabiri JF-Expert Member

#17
Aug 16, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Eee,so chagaz n kikuyuz r equal????

18. B

Bukyanagandi JF-Expert Member

#18
Aug 16, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 7,534
Likes Received: 3,869
Trophy Points: 280

Hulka zao hazina tofauti sana na majirani zao mpakani mwa Tanzania traits kama: Ukatili husiyo kifani, kufanyia watu wengine hila kazini, ubinafsi na mambo mengine ya ukosefu wa utu! Mtu unajiuliza hivi hawa ni wacha Mungu kweli kama wasemavyo? labda hapa niongeze kwamba si wote lakini utofauti wao na wakikuyu kifikila/kimadili ni mdogo sana.

19. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#19
Aug 16, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280
Ahsante sana, nina rafiki yangu mmoja mkenya nae simuamini amini! Sahv nitakuwa simuamini kabisaa.

20. Mchaka Mchaka

Mchaka Mchaka JF Bronze Member

#20
Aug 16, 2011
Joined: Jul 20, 2010
Messages: 4,530
Likes Received: 41
Trophy Points: 0
na wakwe.re?

Loading...