Tahadhari kwa wapenda kubofya bofya habari za 'kustua' za 'mastaa' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari kwa wapenda kubofya bofya habari za 'kustua' za 'mastaa'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkeshahoi, Mar 17, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hii ni kwa mujibu wa Tovuti ya WAVUTI...


  Kuna watu wana tabia ya kiherehere, wanaopenda kubofya bofya kila linki wanayopokea hasa pale inapohusu habari za kustua ama gumzo dhidi ya watu maarufu duniani ama zile zinazohusiana na ngono.

  Zimeanza kusambaa habari za uongo zinazosema, "an accident that killed U.S. President Barack Obama" ati, "raisi wa Marekani bwana Barack Obama ameuawa katika ajali". Hizo ni habari za uzushi ambazo zinakuja kwa njia ya linki yenye maelekezo kuwa ubofye ili kusoma habari zaidi kuhusiana na tukio hilo. Punde mtu anavyofanya hivyo, basi anakuwa amebofya linki yenye virusi ambavyo vitaingia katika tarakilishi unayotumia na kusababisha uharibifu.

  Linki hizi zinajificha katika majina yanayokuelekeza kwenda mitandao maarufu kama vile Facebook au YouTube kuona video au kusoma zaidi, lakini hiyo ni haddaa, si kweli, majina unayoyaona kwa kusoma yameficha linki haribifu. Linki hizi zimesambaa kwenye chat clients kama Windows Live Messenger.

  Tafadhali kuwa mwangalifu na zingatia kuwa na anti-virus ambayo utai-update mara kwa mara na usipende tabia ya kubofya bofya linki usizokuwa zenye habari zinazoelekea kuwa za udaku.
  UPDATE
  Kuna watu wanapenda kubisha tu alimradi wamebisha, basi hiyo ndiyo furaha yao. Hapa naambatanisha maelezo na linki, mwenye kuchukua hatua atachukua, asiyetaka, hajalazimishwa, endelea kubofya bofya tu.
  KUna linki mwisho wa maelezo ukibofya waweza kuona screen-capture ya IM ina URL yenye virus.

  “Obama Accident” Instant Messages Used to Spread Malware 2:56 am (UTC-7) | by Jonathan Leopando (Technical Communications)
  A new attack spreading BUZUS malware via Windows Live Messenger has been spotted. Trend Micro researcher Loucif Kharouni spotted the messages spreading via the popular instant-messaging (IM) application, samples of which can be seen below.

  The text before the links are in French and tells users to click the link that follows. Some of these links made users believe that they were viewing a photo related to an accident that supposedly killed U.S. President Barack Obama. Others used domain names similar to legitimate sites like Facebook and YouTube.

  In reality, however, the links lead to malicious BUZUS variants detected by Trend Micro as TROJ_BUZUS.BTA and TROJ_BUZUS.BTB.

  Malware attacks using Barack Obama as social-engineering bait date back to his 2008 campaign for the U.S. presidency. Previous attacks were seen both around his election (both for pharmaceutical spam and spreading malware) as well as around his inauguration.

  Trend Micro™ Smart Protection Network™ protects customers from this threat by blocking user access to the malicious websites that host the malicious files. It also detects and prevents the download of TROJ_BUZUS.BTA and TROJ_BUZUS.BTB via the file reputation service.

  Source & Credit: http://blog.trendmicro.com/obama-accident-instant-messages-used-to-spread-malware
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa
   
Loading...