Tahadhari kwa wanaume waliooa: Usikubali mkeo akuwekee chakula cha peke yako, kimejazwa madawa kukufanya msukule na zezeta

Huwezi kumdhibiti mwanamke ambaye ni mkeo asikuwekee kitu chochote kwenye chakula ,akiamua anaweka hata kama uko naye hapo,zaidi ni kumuomba Mungu tu amuepushe na hayo mawazo ya kichawi,na sisi wanaume tuwapende wake zetu hata kinafiki itasaidia
 
Natoa angalizo tu.

Siku hizi wanaume wanajisahau na akina mama wanachukua fursa!

Atajifanya anakupenda, atakuwekea chakula kwenye hotpot yako na wewe utaona anajali,kinachofanyika ni kwamba,chakula hicho kimewekewa madawa ya kichawi na kishirikina yakiwa na manuizi kukufanya wewe msukule na zezete na chuma ulete,kazi yako iwe kumlisha Huyo mwanamke na kaka zake,dada zake,wakwe zako.

Asilimia kubwa ya wanaume waliooa ni misukule inayotembea,chunguza utaona!

Usiwe na ratiba rasmi ya kula nyumbani,wala kurudi nyumbani,itakula kwako!

Unaweza logwa ata kwa mkojo, tafuna chakula wacha woga
 
Kama wewe msumbufu kwa mkeo,unayo michepuko mingi,haujamwandikisha mkeo mali nyingi unazomiliki,majaribio ya yeye kukudhibiti ni lazima.
 
Usimwamini mtu yeyote but wapende wote. Dawa ya limbwata ni kupata hedhi ya fisi tu. Akifanya atakupenda yeye. Km fisi anavopenda mizoga basi!
 
Kama huna ratiba ya kula nyumbani, sasa ukale wapi??!; je kila siku utakula nje ya nyumbani??!----huoni kwamba hapo utakuwa unakaribisha nyumba ndogo??--na usipokula nyumbani huyo mkeo atakuelewa vipi??, si ndiyo utamfanya ahangaike zaidi kukudhibiti kwa madawa akidhani kwamba umerubuniwa huko nje na viruka njia !!.
Na hata usipokula chakula anaweza kukuwekea sehemu zingine usizozijua.

Mbele ya wanawake wanaume hatutambi na hasa akishakuwa mkeo.

Ukikataa kula chakula cha kawaida, je utakataa pia kula kile chakula kikubwa cha chumbani??!!, na hapo ndipo huna ujanja kaka,🤣🤣🤣🤣
Ukitaka amani mroge na wewe mapema yeye ndiyo awe zezeta zaidi yaani yes sir. dawa unazo mwilini. hkn jinsi lazima urogwe tu;; kazini, home, njiani, kanisani, msikitini, siasani, mama ntlie, guest house, mwenye nyumba ili usi hame, hotel, boda boda, Taxii, shule za wanao! weee!
 
Back
Top Bottom