Tahadhari kwa wanaume msiopenda kuharibiwa mood na madada...

hakikisha humpi salamu mwanamke au mdada yeyote mwenye sifa zifuatazo kama huna gari;
.asiye msomi, mwenye muonekano usio wa kisomi (wasomi wanaonekana, nimeeleweka)
.asiye na sura ya kuvutia, mweusi!!!
.anaeonekana mwongeaji sana (hata kama yuko mwenyewe nahisi anaonekana tu)
.ambae kama umemface akikukaribia anaonesha dalili ya kupita kando na wewe
.ambae akikukarbia anavuta mdomo, hata kama hamfahamiani
.kasuka nywele nyingine zina hang kufunika jicho moja
.anaemiliki simu kali zaidi eg iphone na anatembea kaishikilia mkononi
.kabla hajakupita anatizama kando...
Madada ya hivyo hayaitikiagi salamu, utakuja kunambia!! labda yaishie kukutukana tu!!
siwapendi wadada we acha tu!!
Pole Mkuu Naona Kuna mdada alikupiga na kitu kizito kichwani.
 
Sorry, hizi zilikuwa ni hasira!!! Sometimes wanaboa bhana!! Nimeamua niwasamehe!!
Walete maringo tena waone! Tutahama tuwaachie dunia, au mnasemaje wakuu!!
 
Ushauri batili huu.
Haupaswi kuchukua na mwanaume yeyote lijali.

Hamna mwanaume yeyote duniani anaweza jiita HONEY BEE
 
Mleta uzi kwenye uzi wake mmoja alisema anatumia acc moja na Mke wake...

Sijui kufungua acc Jeiefu siku hizi imekuwa kazi sana...
 
Back
Top Bottom