Tahadhari kwa wanaume msiopenda kuharibiwa mood na madada...

honey bee

Senior Member
Nov 23, 2021
139
231
Hakikisha humpi salamu mwanamke au mdada yeyote mwenye sifa zifuatazo kama huna gari:

  • Asiye msomi, mwenye muonekano usio wa kisomi (wasomi wanaonekana, nimeeleweka)
  • Asiye na sura ya kuvutia, mweusi
  • Anaeonekana mwongeaji sana (hata kama yuko mwenyewe nahisi anaonekana tu)
  • Ambaye kama umemface akikukaribia anaonesha dalili ya kupita kando na wewe
  • Ambaye akikukarbia anavuta mdomo, hata kama hamfahamiani
  • Kasuka nywele nyingine zina hang kufunika jicho moja
  • Anaemiliki simu kali zaidi eg iphone na anatembea kaishikilia mkononi
  • Kabla hajakupita anatizama kando.
  • Madada ya hivyo hayaitikiagi salamu, utakuja kunambia!! labda yaishie kukutukana tu

Siwapendi wadada wewe acha tu!
 
Yaan ww unaacha kufanya kilichokupeleka road, unakaa ukichunguza wat na kuwasalimia jamn n nn hiki..........🤨 jifunze kuangalia yanayokuhusu​
 
Back
Top Bottom