Tahadhari kwa wanaotaka kutibiwa UK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari kwa wanaotaka kutibiwa UK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Oct 12, 2007.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  In short ukienda kwenye hospitali za NHS UK chances zako za kupona ni ZERO na vile vile chances za kupata magonjwa mengine kama MSRA ni 100%.  [​IMG]
  Hospitali inayoongoza kwa Uchafu
  [​IMG]
  Tazama vitanda vilivyokaribiana
  [​IMG]
  masinki machafu ndio kawaida ya hospitali za NHS

  [​IMG]
  Vifaa vya matibabu wanaacha open

  [​IMG]
  vyoo vya hospitali vikiwa na kinyesi cha binadamu  http://news.bbc.co.uk/1/hi/health/7037657.stm
   
 2. venchwa

  venchwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2017
  Joined: Aug 5, 2016
  Messages: 1,211
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Tumeelewa
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2017
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Hivi naweza fananisha hiyo hali hapo na hospitali gani bongo?
  labda kule Heart institute.
  kwingine kote ni kubaya mara 1000 ya hivyo.
   
 4. Donovan RS

  Donovan RS JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2017
  Joined: Aug 10, 2017
  Messages: 345
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 80
  Kumbe issue ni world wide...*uchafu*
   
 5. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2017
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  sawa, tutawashauri wasimpeleke lisu huko
   
 6. T

  Tairi bovu JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2017
  Joined: Sep 28, 2017
  Messages: 874
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 180
  Cc.
  Ummy mwalimu (uione kama ilivyo mama)
   
 7. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2017
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  MRSA ulisha zibitiwa muda mrefu ulikua tishio sana Royal Berkshire Hospital ya Reading.
   
Loading...