Tahadhari kwa wanao omba kazi humu jf kueni makini kuna matapeli wanaojifanya wana connection za kazi

Na ww alikugeuza kuwa fursa????
We acha ndugu yangu... Jamaa aliona ni fursa, afu hawa watu hua hawataki hela kubwa... Vidogovidogo tu... Anaweza akakwambia, barua ya maombi ya kazi niachie mimi na za wazamini niachie mimi... Baadae utasikia wazamini wanataka chochote... Daaaaahhh
 
Back
Top Bottom