Tahadhari:Kwa Wanafunzi Wote waliomaliza na watakaomaliza Advance na kutaka kusomea kada ya Afya.

Udom course za afya ni degree programs - MD, NURSING, midwifery (nasikia imefutwa), diploma program - nursing, lab tech & pharmacy... Halafu Muhimbili si kama UDOM na UDSM, udom na udsm ni kama HAVARD au OXFORD wanatoa programs za aina mbalimbali kama engineering, IT zikiwemo na za afya tofauti na Muhimbili wao afya tuu.... So Muhimbili kwa UDOM au UDSM ni kama college tuuu.... Maana UDOM kuna College of Health and allied sciences (CHAS) ambayo ni sawa sawa na Muhimbili inatoa afya tuuu.... Usikalili kaka

Hii ndiyo Hasara Ya Kusoma Shule Zinazoiba Mtihani..... Alimradi Umquote Mtu tu! lakini Unalopinga na Unalokubali Halijulikani.... Wacha Nikupuuze..
 
Duuuh kwel wa tz wana haki ya kujuta kumkabidh nchi.
Kama sayans tena doctor anapata asilimia 40.
Daaah je, wale vijana wa art wanaosubir mikopo kaz wanayo.
haahaahaah sasa ubish wenu wa kujifanya fisiem dam nitauona.
Mm nawashaur lipa direct cost then postpone.
Labda mwakan mkulu atakua kwenye hal nzur ya kiuchumi.
Ngoja tu nmalizie kawimbo
Acha waisome namba eeeeh
ambae amekosa mkopo anisaidie kumalizia please
wajinga wale,ccm mbele kwa mbele
 
Mkuu siyo ninafikiri. Ninajua. Ndiyo sabbu nikakuambia, iresearch vizuri ili ukiipata uielewe na ikae kwako. Haiitiwi advanced education
Naamini ungenyambua na kung'amua km ningeandika Advanced Level
 
Back
Top Bottom