TAHADHARI kwa wana ChitChat wote

Status
Not open for further replies.
Invisible yan leo umenipa raha (sosi:jeyikeyi) Maneno uliyoandika kwenye huu uzi ni kweli mtupu na umeyafanyia kazi kama ulivyosema.

Shukrani sana kwa kutusafishia jukwaa letu pendwa......
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha! zubedayo_mchuzi bhana! Ingekuwa ni hivyo mimi ningekuwa wa kwanza nawe ungekuwa wa mwisho mkuu.

Enjoy JF by abide its laws & regulations. Respect other members, if you read stupid thread or post, NEVER participate on it.

COPY: Invisible
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kutusaidia kwani kuna watu hapa waligombana natukaanza kuwasuluhisha lakini wapi hii yote ni uchochezi,na kuwa na ID's zaidi ya moja. mkuu Invisible asante sana tena sana
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
112 Reactions
Reply
Back
Top Bottom