Tahadhari kwa wageni mnaokuja Moshi.

mihadarati

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
268
74
Mwishoni mwa Juma hili nilikuwa nimetinga katika Mji wa moshi ambao ni mji unaosifiwa kwa usafi na kweli japo ni mdogo lakini unavutia kwa usafi wake.

Kabla ya kwenda nyumbani niliposhukia nilikuwa na mihadi ya kukutana ba rafiki yangu ambaye tunafanya nae kazi pamoja lakini yeye akiwa makao makuu jijini dar.

Nikiwa katika kituo kikubwa cha mabasi nilisikia kelele na mimi nilijongea eneo nililokuwa kutaka kujua ni nin!.
Kwa kweli alikuwa ni msichana ambaye alikuwa amevalia mavazi ambayo wananchi walidai alikuwa nusu uchi.
Umati mkubwa wa watu na vijana walikuwa wakipiga miluzi ambapi wengine tayari walianza kumshika2 dada wa watu na kutaka kumchania mavazi yake ili abaki uchi.

Dada huyo alipkolewa ba askari wa kike na kupelekwa kituo cha polisi.

Tahadhari kwa hali ilivyo Moshi wasichana mbaokuja kwenye sikuu hizi na siku nyingine angalieni mavazi ya kuja nayo cyo mnavaa kama mnaenda night club yatakumba yaliyomkumba mwenzenu.
 
Nilifikiri unawaonya wageni wanaokuja Moshi mjini wajihadhari na tabia ya kutupa taka ovyo, kama vile karatasi za vocha au chupa za maji baada ya kunywa maji. Kumbe ni wanawake na nguo fupi! Kama ni fasheni hawataacha kuvaa.
 
cjui nikusaidieje umeshindwa kuderiva mada ipasavyo, kwanza umeanza na usafi wa mazingira theni unarukia kwa vimin uhusiano uko wapi hapo?
 
Suala la kutupa taka moshi lipo wazi,ila hili la mavazi ndo jipya nikasema niwafahamishe wageni.
 
cjui nikusaidieje umeshindwa kuderiva mada ipasavyo, kwanza umeanza na usafi wa mazingira theni unarukia kwa vimin uhusiano uko wapi hapo?

Siyo ninarukia ntabhewa mim ndiye niliyekuwa ninaandika na ninajua nililenga kwenye nini sasa wew kuniambia nimerukia vimini na hiyo ndo ilikuwa imebeba theme topic utakuwa unepotea.
 
jina lako mtoa mada halinibariki

Nilifikiri unawaonya wageni wanaokuja Moshi mjini wajihadhari na tabia ya kutupa taka ovyo, kama vile karatasi za vocha au chupa za maji baada ya kunywa maji. Kumbe ni wanawake na nguo fupi! Kama ni fasheni hawataacha kuvaa.

tatizo ni mihadarati kama jina lako

cjui nikusaidieje umeshindwa kuderiva mada ipasavyo, kwanza umeanza na usafi wa mazingira theni unarukia kwa vimin uhusiano uko wapi hapo?

umeenda kutembea au mwenyeji wa moshi?

Sijui kwanini baadhi ya wachangiaji hupenda kupindisha mada?!

Mtoa mada nashukuru kwa taarifa. Nitazingatia.
 
Last edited by a moderator:
Nilifikiri unawaonya wageni wanaokuja Moshi mjini wajihadhari na tabia ya kutupa taka ovyo, kama vile karatasi za vocha au chupa za maji baada ya kunywa maji. Kumbe ni wanawake na nguo fupi! Kama ni fasheni hawataacha kuvaa.

Kama hawataacha itakuwa wamependa yatakayowapata maana wapo wengine ambao wameshachaniwa nguo hadi kusaidiwa na wakinamama wenye maduka ya nguo hapa stendi .
 
Kuna majina ya ajabu sana humu kama msalani, sumu, mihadarati n.k. sijui ni kwa nini majinabya namna hiuo yanakubalika.
na ukiona mtu anapenda majina ya kishenzi hata kama ni ya utani ujue ana tabia za kishenzi hivyo hivyo haijalishi mada yake ni nzuri kiasi gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom