Tahadhari kwa UKAWA: Utawala wa Rais Magufuli hauna juice ya bure Ikulu

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,975
Nasikia UKAWA eti wanataka kususa ili kuishinikiza serikali ya Rais Magufuli iwaite Ikulu kwenda kunywa juice ya bure.

Nadhani mpaka sasa hawafahamu kuwa serikali ya Rais Magufuli ni HapaKaziTu.

Serikali ya Rais Magufuli kwa sasa inabana matumizi na haina juice ya bure kwa viongozi wa UKAWA. Pesa za juice kwa sasa zinaelekezwa kwenye huduma za kijamii kama hospital na shule. Wananchi wamechoka na vikao vinavyoambatana na urasimu.

Rais Kikwete aliwalea sana UKAWA kiasi kwamba, kila wakifika Ikulu walikuwa wanaomba kwanza wapewe juice kabla ya mazungumzo hayajaanza.

Serikali ya Rais Magufuli haina muda wa vikao na majungu ya kisiasa. Serikali ya Rais Magufuli ina muda wa kuonana na wananchi wenye matatizo na siyo kuonana na viongozi kama wa UKAWA ambao wametawaliwa na fikra za kibinafsi na biashara ya kisiasa.

Matatizo ya Zanzibar yanatatuliwa Kizanzibari. Matatizo ya Zanzibar hayawezi kutatuliwa Kitanzania. Wanzanzibari walishasema, Zanzibar ni nchi na ina mipaka yake, Rais wake, Bunge lake na Mahakama yake.

Wewe mtu wa Tanganyika ambaye huruhusiwi hata kununua ardhi nchini Zanzibar, why are you poking your black nose into Zanzibar affairs?.

Wewe Mbatia ambaye hata NCCR-Mageuzi kwa sasa imekushinda, utayaweza ya Zanzibar?

Wewe Mbowe ambaye umeuza CHADEMA, utaweza kuwauza Wazanzibari?

Wewe Lowassa ambaye juzi umegaragazwa na Dk. Magufuli , utaweza kupata pumzi ya mapambano mengine nchini Zanzibar?

You guys, Mind your own damn political business!

Wazanzibari wanajuana kwa viremba...

Wazanzibari walishatoa tamko lao na walisema hivi,
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Othman alisema marekebisho 10 katika katiba ya Zanzibar yalifanywa baada ya hoja nyingi zisizojibika katika katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyokuwa ikieleza Zanzibar ni sehemu ya Muungano.

Mheshimiwa Naibu Spika kuna mambo yalikuwa hayana majibu kama hili la Zanzibar kuwa sehemu ya Jamhuri ya Muungano,watu walikuwa wakijiuliza ni kama nini Mkoa? Shehia? Kata? au Kijiji?, haya hayakuwa na jibu katika Katiba ya muungano?kwa sababu hiyo ndipo Wazanzibari wakafanya marekebisho sioni kama ni tatizo? Alisema Mwanasheria Mkuu.

Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 katika marekebisho ya 10 ya mwaka 2010, sehemu ya kwanza inatamka kuwa Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ?Sasa kuja kwa haya yametuonesha kwamba kuna wenzetu kumbe wana fikra kwamba Zanzibar iliwahi kutawaliwa, maana mtu anaposema marekebisho ya 10 ya Zanzibar yamjitangazia uhuru maana yake ana fikra na huyu ni mwanasheria mtu kafika mpaka kuwa Mbunge anayeaminika na chama chake, lakini anasema kwa kufanya hivyo Zanzibar imejitangazia kuwa huru kwani tuliwahi kutawaliwa Aliuliza Mwanasheria Mkuu.

Akisoma hotuba ya kambi ya upinzani Bungeni katika bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano), Waziri Kivuli wa Wizara hiyo, Tundu Lissu alisema Katiba ya Zanzibar inakiuka makubaliano ya Muungano kwa kujitangazia nchi huru kupitia marekebisho ya 10 katiba.
 
mtaisoma namba nlitegemea kuishi kwa vyeo vya kipwani magufuli jitu la bara halina ujinga

ccm maslahi vitengo vinaanza kubanwa kwani nina uhakika 100% hao wenye hicho kitengo pwani ni walewale
 
Kwa hiyo unawatishia ukawa haya ngoja waje, ila nikwambie kitu vitisho na ubabe havitajenga nchi.
 
mpaka sasa Kikwete amehamaki rais sio Membe kama walivyo-plan.

Hivi CCM mngeshinda kihalali mngeangaika hivi na UKAWA??
 
Nasikia UKAWA eti wanataka kususa ili kuishinikiza serikali ya Rais Magufuli iwaite Ikulu kwenda kunywa juice ya bure.

Nadhani mpaka sasa hawafahamu kuwa serikali ya Rais Magufuli ni HapaKaziTu.

Serikali ya Rais Magufuli kwa sasa inabana matumizi na haina juice ya bure kwa viongozi wa UKAWA. Pesa za juice kwa sasa zinaelekezwa kwenye huduma za kijamii kama hospital na shule. Wananchi wamechoka na vikao vinavyoambatana na urasimu.

Rais Kikwete aliwalea sana UKAWA kiasi kwamba, kila wakifika Ikulu walikuwa wanaomba kwanza wapewe juice kabla ya mazungumzo hayajaanza.

Serikali ya Rais Magufuli haina muda wa vikao na majungu ya kisiasa. Serikali ya Rais Magufuli ina muda wa kuonana na wananchi wenye matatizo na siyo kuonana na viongozi kama wa UKAWA ambao wametawaliwa na fikra za kibinafsi na biashara ya kisiasa.

Matatizo ya Zanzibar yanatatuliwa Kizanzibari. Matatizo ya Zanzibar hayawezi kutatuliwa Kitanzania. Wanzanzibari walishasema, Zanzibar ni nchi na ina mipaka yake, Rais wake, Bunge lake na Mahakama yake.

Wewe mtu wa Tanganyika ambaye huruhusiwi hata kununua ardhi nchini Zanzibar, why are you poking your black nose into Zanzibar affairs?.

Wewe Mbatia ambaye hata NCCR-Mageuzi kwa sasa imekushinda, utayaweza ya Zanzibar?

Wewe Mbowe ambaye umeuza CHADEMA, utaweza kuwauza Wazanzibari?

Wewe Lowassa ambaye juzi umegaragazwa na Dk. Magufuli , utaweza kupata pumzi ya mapambano mengine nchini Zanzibar?

You guys, Mind your own damn political business!

Wazanzibari wanajuana kwa viremba...

Wazanzibari walishatoa tamko lao na walisema hivi,

Wewe ni shabiki wa siasa
 
mtaisoma namba nlitegemea kuishi kwa vyeo vya kipwani magufuli jitu la bara halina ujinga

ccm maslahi vitengo vinaanza kubanwa kwani nina uhakika 100% hao wenye hicho kitengo pwani ni walewale
Sijaelewa vizuri msingi wa comment yako!

Fafanua zaidi!
 
Mtoa mada ameandika upuuzi mtupu.

mmh! Sio upuuzi ni ukweli mtupu. Unajifanya umesahau jinsi mzee wa Msoga alivyokuwa akiwaalika akina lipumba ikulu kugonga kyai kya moto kya rangi
 
mpaka sasa Kikwete amehamaki rais sio Membe kama walivyo-plan.

Hivi CCM mngeshinda kihalali mngeangaika hivi na UKAWA??
magufuli kaandaliwa tangu mwaka mzima kabla ya uchaguzi mkuu:kuna wakati alikua hadi akipewa escort kama rais mpaka humu jf tukaanza kujiuliza,,pia ujue jk na magufuli wako karibu kuliko unavyodhania,,
 
mpaka sasa Kikwete amehamaki rais sio Membe kama walivyo-plan.Hivi CCM mngeshinda kihalali mngeangaika hivi na UKAWA??
Huo uhalali wakushinda ulitaka Yesu ndio auseme! wewe badilika na ukae ukifikiria kwa kina MLIKUWA NA MGOMBEA AU MDOLI? mnamfanya mtu mmoja DJ MBOWE kuwa MUNGUMTU mtegemee waTZ wote tuwe MAJUHA kama ninyi!!!
 
Punguza jazba
unapanic sana kwasababu kichwa chako kipo ACT, makalio yapo CCM.

magufuli kaandaliwa tangu mwaka mzima kabla ya uchaguzi mkuu:kuna wakati alikua hadi akipewa escort kama rais mpaka humu jf tukaanza kujiuliza,,pia ujue jk na magufuli wako karibu kuliko unavyodhania,,

hii kamdanganye house girl wako.
 
Punguza jazba unapanic sana kwasababu kichwa chako kipo ACT, makalio yapo CCM.
NILIMPA MAGUFULI KURA NA IKAONEKANA NIMEICHAGUA CCM Vyovyote sawa ila lengo na dhumuni ni KUZUIA MAZUZU KUTUPATIA RAIS MDOLI,JIZI, MNAFIKI NA MFILI WA TAIFA HILI LOWASSA. Hujakosea manenoyako hapo juu ila ukumbuke usemi huu "Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
 
UKAWA ni kama shahawa, haikosei ishapenya katikati ya makalio yako.

kilaza wewe
 
NILIMPA MAGUFULI KURA NA IKAONEKANA NIMEICHAGUA CCM Vyovyote sawa ila lengo na dhumuni ni KUZUIA MAZUZU KUTUPATIA RAIS MDOLI,JIZI, MNAFIKI NA MFILI WA TAIFA HILI LOWASSA. Hujakosea manenoyako hapo juu ila ukumbuke usemi huu "Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"

punguza jazba.

Back
Top Bottom