Daah kile kilio cha Dodoma halafu mpuuzi anahama Chama eti anaunga juhudi za CCM aisee no wonder karne hii watu weusi bado tunauzwa kama wanyama!!Nawatahadharisha tu, mateso wanayoyapitia watu wa Mungu, kuonewa, kupigwa, kudhulumiwa...mnadhani Mungu amelala na hayaoni mateso wanayopata watu wake?
Tuoneeni tu!! Ila mjue Mungu mtenda haki hajalala.
Hayo unayasema wewe na wengine humu tunajadili hali halisi. Wanyonge wanaodaiwa kutetewa huku wakiumizwa wengi wao hawana itikadi yoyote. Toka lini MUNGU akawa na chama. Twasema hivi MUNGU ndiye mtetezi wa wanyonge iko siku wote tutalithibitisha hilo.Hivi nyie bawacha mnadhanigi Mungu ni wa chadema tu??
Mungu hadhiakiwi huku mnasema mnapiga vita rushwa huku mnahonga watu wawaunge mkono!!Hivi nyie bawacha mnadhanigi Mungu ni wa chadema tu??
Mungu KAMLAANI DJ na subjects zake zote ndio maana hamjielewi.Mungu hadhiakiwi huku mnasema mnapiga vita rushwa huku mnahonga watu wawaunge mkono!!
Huku mnasema muombewe huku mnanyonya na kudhulumu wanyonge!!
Mungu hadhihakiwi!!
Wewe usishindane na Mimi... Mimi nimesema tu Mungu hadhihakiwi so ni uamuzi wako kusuka au kunyoa!!Mungu KAMLAANI DJ na subjects zake zote ndio maana hamjielewi.
Kinyesi mnachopaka watu hamkioni?? Kundule hamlioni?? You are damn right, Mungu hadhihakiwi, what is happening in Ufipa right now is KARMA.
KARMA is the bitch.
CCM Chama cha MashetaniNawatahadharisha tu, mateso wanayoyapitia watu wa Mungu, kuonewa, kupigwa, kudhulumiwa...mnadhani Mungu amelala na hayaoni mateso wanayopata watu wake?
Tuoneeni tu!! Ila mjue Mungu mtenda haki hajalala.