Tahadhari kwa Serikali ya CCM, Mungu hajalala

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,592
2,000
Nawatahadharisha tu, mateso wanayoyapitia watu wa Mungu, kuonewa, kupigwa, kudhulumiwa...mnadhani Mungu amelala na hayaoni mateso wanayopata watu wake?

Tuoneeni tu!! Ila mjue Mungu mtenda haki hajalala.
Daah kile kilio cha Dodoma halafu mpuuzi anahama Chama eti anaunga juhudi za CCM aisee no wonder karne hii watu weusi bado tunauzwa kama wanyama!!
 

nchasi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
552
250
Wafanyakazi katuahidi mwezi uliopita kuwa atarekebisha madaraja stahiki ambayo hajatekeleza na wala hakuna hata kauli. Sisi ni wanyonge hatuna la kufanya acha tu tuendelee kuteseka kwa msongo wa mawazo Mungu yupo
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
15,615
2,000
Mungu mpenda haki huitazama mioyo na sio maneno yatokayo vinywani........

Vinywani mwa wanasiasa kumejaa maneno ya busara na na unyenyekevu Lakini mioyo yao imejaa usheitwani na ufedhuli wa hali ya juu.....

Ndio hao hao wanaokula viapo bungeni huku wameshika vitabu vya Mungu na upande wa pili wanatenda matendo yanayowaangamiza wengine......
 

Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,426
2,000
"Mnyapara wa barabara" yuko kazini, hasikii la yeyote isipokuwa DAB. Eti asema anawapigania 'wanyonge' hata kwa kubomoa Nyumba za hao 'wanyonge'!

Mbaya zaidi mnyapara anafanya udhalimu huku akishangiliwa na wengi ambao amefanikiwa kuwashikia akili ilhali ni wawakilishi wa wananchi!

Hili nalo litapita!
 

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,770
2,000
Mungu hadhiakiwi huku mnasema mnapiga vita rushwa huku mnahonga watu wawaunge mkono!!

Huku mnasema muombewe huku mnanyonya na kudhulumu wanyonge!!
Mungu hadhihakiwi!!
Mungu KAMLAANI DJ na subjects zake zote ndio maana hamjielewi.
Kinyesi mnachopaka watu hamkioni?? Kundule hamlioni?? You are damn right, Mungu hadhihakiwi, what is happening in Ufipa right now is KARMA.
KARMA is the bitch.
 

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,592
2,000
Mungu KAMLAANI DJ na subjects zake zote ndio maana hamjielewi.
Kinyesi mnachopaka watu hamkioni?? Kundule hamlioni?? You are damn right, Mungu hadhihakiwi, what is happening in Ufipa right now is KARMA.
KARMA is the bitch.
Wewe usishindane na Mimi... Mimi nimesema tu Mungu hadhihakiwi so ni uamuzi wako kusuka au kunyoa!!

Siku zote wenye hatia huogopa sana!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom