Tahadhari kwa mnaotumia mfumo wa malipo wa Selcom Paytech Plc

Rurakha

Senior Member
Oct 20, 2019
121
209
Salam kwanza kabisa napenda kushare na nyinyi uzoefu wangu kuhusu mfumo wa malipo wa Selcom

Mimi ni Wakala wa benk na mitandao ya simu huwa ninafanya miamala mingi ya malipo kama tra ada ya vyuo vya serikali kwa kupitia mfumo wa malipo wa selcom

Sasa nachotaka kuwatahadharisha ni kwamba huu mfumo usiweke pesa nyingi ikitokea system ikafeli hawa jamaa hawarejeshi haraka na wana changamoto zifuatazo:

1. Hawana Sera ya Huduma kwa mteja tofauti na Benk kama wanavyofanya pia hawana muda maalum wa kutatua changamoto

2. Huduma zao mbovu sana hasa huduma kwa mteja nimefanya muamala sytem ikafeli mpaka kesho pesa zangu hazijarudi ni wasumbufu sana na leo wiki imepita jitahidini mtumie mabenki ukitaka kuamini pitia coments zao angalia comments za wateja jamaa wanazingua sana alafu majibu yao ni tunafanyia kazi
 
imekutokea mara ngapi mkuu isije kuwa ni hiyo mara moja tu .Hebu cheki hiyo link 👇

Unakuwa na biashara kubwa kama hiyo halafu huna kitengo cha customer care kwa ajili ya mawasiliano ya 24/7. Kama ndivyo basi hawa jamaa watakuwa walibebwa hadi walipofika.
 
imekutokea mara ngapi mkuu isije kuwa ni hiyo mara moja tu
Mara nyingi sana hasa gepg au unanunua luku pesa inakatwa tokeni hairudishwi tofauti na crdb ukinunua luku kama mtandao haupo huwa hawakati pesa risk sana wekeni pesa ndogo ndogo shida nahisi kuna watendaji wezi
 
imekutokea mara ngapi mkuu isije kuwa ni hiyo mara moja tu
Mara nyingi sana hasa gepg au unanunua luku pesa inakatwa tokeni hairudishwi tofauti na crdb ukinunua luku kama mtandao haupo huwa hawakati pesa risk sana wekeni pesa ndogo ndogo shida nahisi kuna watendaji ambao sio waadilifu ila pesa yangu ninewaambia lazma watarudisha
 
imekutokea mara ngapi mkuu isije kuwa ni hiyo mara moja tu .Hebu cheki hiyo link

Hata mara moja ni tatizo pia hasa kukikosekana maelezo ya kueleweka
 
Mimi ilishawahi kunikuta mkuu, ingawa haikua pesa mingi sana ila niliwakomalia sanaaa, na pamoja na kukomaa huko baada ya kama mwezi na siku kadhaa ndio walinirudishia pesa yangu
 
Mimi ilishawahi kunikuta mkuu, ingawa haikua pesa mingi sana ila niliwakomalia sanaaa, na pamoja na kukomaa huko baada ya kama mwezi na siku kadhaa ndio walinirudishia pesa yangu
Duh ni hatari jamaa wasumbufusu sana wahuni
 
0787003009.
Save no. hii ni ya WhatsApp ipo online mda wote.
Hii itakusaidia endapo utanunua umeme alafu wakachukua pesa bila token.
Utaandika hivi.

LUKU: 430002882881.(Hapa utaandika mita no.husika ya huo muamala uliofel )
Automatically utatumiwa mihamala mitatu iliyofanyika kwa mita iyo kuanzia siku iyo.

NT.Kama token bado hazijatoka watakutumia token za mihamala mitatu (3) ambayo tayari ishatumika, so utalazimika kuandika baadae na kutuma tena .
 
Kaka kama wewe ni mfanyakazi wa selcom aisee nina kama laki 8 yangu imechukuliwa na selcom leo wiki ukipiga simu ni siasa tu "inafanyiwa kazi na idara husika "ndio majibu yenu sina ham kabisa na huduma zenu yaani pesa ikirudi naacha kabisa kutumia huduma hii wateja bora niwakose tu mi nadhani tatizo ni taasisi ikishamilikiwa na wahindi wafanyakazi hulipwa kidogo hivyo kupelekea watendaji mnakuwa wezi na wazembe hovyo kabisa
 
0787003009.
Save no. hii ni ya WhatsApp ipo online mda wote.
Hii itakusaidia endapo utanunua umeme alafu wakachukua pesa bila token.
Utaandika hivi.

LUKU: 430002882881.(Hapa utaandika mita no.husika ya huo muamala uliofel )
Automatically utatumiwa mihamala mitatu iliyofanyika kwa mita iyo kuanzia siku iyo.

NT.Kama token bado hazijatoka watakutumia token za mihamala mitatu (3) ambayo tayari ishatumika, so utalazimika kuandika baadae na kutuma tena .
Sipendi issue za message katika genuine issues
 
hata mimi kuna mwaka nilimtumia mtun pesa kupitia bank kwenda kwenye simu ila mtu kati alikuwa sekcom lakini baada ya mda nilirudisha muamala bank kwenye account yangu na leo ni mwaka wa nne sijapa hyo pesa
 
Back
Top Bottom