Hii,tetesi kuwa kamati ya chama imetengua Uamuzi wa Wabunge wake ambao ni wakilishi wetu tuliowapa mamlaka ya kutuwakilisha na kutusemea ni wahatari kubwa na unataka kutuharibia Chama.
Napenda kutoa tahadhari kuwa uamuzi wowote wa kwenda kinyume na maamuzi ya kura za wabunge wa Chama kwa sasa hauna masilahi na utaibomoa chama kuliko kumbakiza au kumrudisha Mh.Zitto Zuberi Kabwe kwenye nafasi yake ya Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni.
Uamuzi huu pia ni hatari na unatukumbusha nini CCM wanawafanyia Wabunge wao.Suala la wengi wape kama utaratibu ulifuatwa lazima uzingatiwe.
Ieleweke wazi kuwa Zitto si Chadema.
Wote tunaelewa Chadema ni wanachama na wabunge waliofikia uamuzi wa kumtoa Zitto kwenye nafasi hiyo ndio hasa wenye kuchukua jukumu hiyo.
Naomba kuwasilisha.