Tahadhari kwa abiria wanaopenda kuchukua TAXI airport!!

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
Leo asubuhi mzungu mwenye uzoefu na Tanzania aliwasili JKN international Airport akitokea Zanzibar, akaingia kwenye taxi mojawapo ya Taxi za pale air port zenye mstari wa kijani lakini badala yake aliishia kutekwa ndani ya taxi hiyo.
Baada ya kama dakika 30 kwenye taxi wanaume watatu waliingia kwa taxi (hii inaonekana ilikuwa imepangwa kikamilifu) na wakaanza kumzungusha mjini kwa kutumia ATM card yake kuchukua hela kweny bank mbalimbali.
Walimwambia kuwa wao ni wasomali ingawa walikuwa wanaonge kiswahili kizuri sana. Walikuwa ovyo au hawakuwa katika hali ya ustaarabu na walimtishia kwanza kabla hawajaanza mchakato wao, wakamwambia utakuwa salama kama utashirikiana nasi na yeye alitekeleza kama walivyotaka.
kwa mategemea walimuuliza alitaka kushushwa wapi na alipowajibu walimshusha jengo moja kabla ya ofisini kwake, wakamrudishia computer yake na kumwambia "tunajua wewe ni mmarekani kwahiyo unaishi kwa kutegemea computer!" Na alipowaambia kuwa ataweza kuwatrace kwa kutumia iphone yake nayo pia wakamrudishia.
Hawakumfanya lolote la kumuumiza mwili lakini kijasho kilikuwa kimemtoka. KWa sasa yuko kituo cha polisi anaandika maelezo.

Ndugu watanzania wenzangu tunapoelekea mwisho wa mwaka kuweni makini sana na pale airport kama dereva taxi humjui bora umwite unayemjua aje kukuchukua.
 
Hawajuani yeye kafika kachkua taxi kama abiria wengine.
 
Dah,..Tax balaa,bodaboda matatizo,bajaji mashaka,daladala utie mikono mfukoni,..kwa miguu roba za mbao,..usafiri binafsi presha power window,sidemirror,...:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Leo asubuhi mzungu mwenye uzoefu na Tanzania aliwasili JKN international Airport akitokea Zanzibar, akaingia kwenye taxi mojawapo ya Taxi za pale air port zenye mstari wa kijani lakini badala yake aliishia kutekwa ndani ya taxi hiyo.
Baada ya kama dakika 30 kwenye taxi wanaume watatu waliingia kwa taxi (hii inaonekana ilikuwa imepangwa kikamilifu) na wakaanza kumzungusha mjini kwa kutumia ATM card yake kuchukua hela kweny bank mbalimbali.
Walimwambia kuwa wao ni wasomali ingawa walikuwa wanaonge kiswahili kizuri sana. Walikuwa ovyo au hawakuwa katika hali ya ustaarabu na walimtishia kwanza kabla hawajaanza mchakato wao, wakamwambia utakuwa salama kama utashirikiana nasi na yeye alitekeleza kama walivyotaka.
kwa mategemea walimuuliza alitaka kushushwa wapi na alipowajibu walimshusha jengo moja kabla ya ofisini kwake, wakamrudishia computer yake na kumwambia "tunajua wewe ni mmarekani kwahiyo unaishi kwa kutegemea computer!" Na alipowaambia kuwa ataweza kuwatrace kwa kutumia iphone yake nayo pia wakamrudishia.
Hawakumfanya lolote la kumuumiza mwili lakini kijasho kilikuwa kimemtoka. KWa sasa yuko kituo cha polisi anaandika maelezo.

Ndugu watanzania wenzangu tunapoelekea mwisho wa mwaka kuweni makini sana na pale airport kama dereva taxi humjui bora umwite unayemjua aje kukuchukua.

Was this the story that Happened yesterday or ni mpya? It is the same on every aspect.
 
Dah,..Tax balaa,bodaboda matatizo,
bajaji mashaka,daladala utie mikono mfukoni,..kwa miguu roba za mbao,..usafiri binafsi presha power window,sidemirror,...:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
Hapana mkuu hapo kwenye red huo usafiri hauna rekodi ya Mashaka
Mimi ninazo tano na zinzpiga kazi vizuri sana, nilimiliki pikipiki mbili moja
ikapata ajali nyingine ikaibiwa na majambazi baada ya kumjeruhi vibaya
dereva ambaye nilimkabidhi.
 
Leo asubuhi mzungu mwenye uzoefu na Tanzania aliwasili JKN international Airport akitokea Zanzibar, akaingia kwenye taxi mojawapo ya Taxi za pale air port zenye mstari wa kijani lakini badala yake aliishia kutekwa ndani ya taxi hiyo.

Ndugu watanzania wenzangu tunapoelekea mwisho wa mwaka kuweni makini sana na pale airport kama dereva taxi humjui bora umwite unayemjua aje kukuchukua.

Lakini taxi zote pale ndani JNIA maderava wanafahamiana; na wana bench lao ambalo wanakaa wakisubiri abiria. Aidha, kila anayeondoka taxi pale lazima anaonekana kaondoka na nani, maana wana tabia ya kukimbilia na kushawishi abiria, hivyo, Dereva anayeshinda ushawishi na kuondoka na mgeni, wenzake humwona. Hatahivyo, nao wanaogopa kutekwa na kunyang'anywa magari. Sio rahisi kwa taxi driver mgeni kuchukua abiria pale, hata hao wanaopaki njia panda (mbele ya JNIA) hawawezi kungia kwa lengo la kuchukua mgeni, labda uwe umpigia simu baada ya kufika. Kwa manti hiyo, huenda huyu Mzungu anafahamiana na hawa wezi na aliwasiliana nao kabla.
 
Pale Airport kuna tax za pale ambao wana kama chama chao pale.. Unapochukua tax pale inatakiwa uchukue tax yenye sticker yao.. Hapo inakusaidia wewe mteja kama ukipata tatizo kuhusu hiyo tax kurudi pale na kupata msaada.. wao wana records zote.. Kama huyo mzungu alichukua tax pale maana yake itakuwa inajulikana.. Rahici kwa Police ku-track nani anaehucika (kama ni wa pale airport)..
 
Leo asubuhi mzungu mwenye uzoefu na Tanzania aliwasili JKN international Airport akitokea Zanzibar, akaingia kwenye taxi mojawapo ya Taxi za pale air port zenye mstari wa kijani lakini badala yake aliishia kutekwa ndani ya taxi hiyo.
Baada ya kama dakika 30 kwenye taxi wanaume watatu waliingia kwa taxi (hii inaonekana ilikuwa imepangwa kikamilifu) na wakaanza kumzungusha mjini kwa kutumia ATM card yake kuchukua hela kweny bank mbalimbali.
Walimwambia kuwa wao ni wasomali ingawa walikuwa wanaonge kiswahili kizuri sana. Walikuwa ovyo au hawakuwa katika hali ya ustaarabu na walimtishia kwanza kabla hawajaanza mchakato wao, wakamwambia utakuwa salama kama utashirikiana nasi na yeye alitekeleza kama walivyotaka.
kwa mategemea walimuuliza alitaka kushushwa wapi na alipowajibu walimshusha jengo moja kabla ya ofisini kwake, wakamrudishia computer yake na kumwambia "tunajua wewe ni mmarekani kwahiyo unaishi kwa kutegemea computer!" Na alipowaambia kuwa ataweza kuwatrace kwa kutumia iphone yake nayo pia wakamrudishia.
Hawakumfanya lolote la kumuumiza mwili lakini kijasho kilikuwa kimemtoka. KWa sasa yuko kituo cha polisi anaandika maelezo.

Ndugu watanzania wenzangu tunapoelekea mwisho wa mwaka kuweni makini sana na pale airport kama dereva taxi humjui bora umwite unayemjua aje kukuchukua.
MAANDISHI MEKUNDU: Mbona iko kama hadithi ya Abunuas.. yaani yeye ndiye aliyewakumbumbusha tena ''wezi'' wake wasiichukue iphone kwani anaweza kuwa-trace??
 
Leo asubuhi mzungu mwenye uzoefu na Tanzania aliwasili JKN international Airport akitokea Zanzibar, akaingia kwenye taxi mojawapo ya Taxi za pale air port zenye mstari wa kijani lakini badala yake aliishia kutekwa ndani ya taxi hiyo.
Baada ya kama dakika 30 kwenye taxi wanaume watatu waliingia kwa taxi (hii inaonekana ilikuwa imepangwa kikamilifu) na wakaanza kumzungusha mjini kwa kutumia ATM card yake kuchukua hela kweny bank mbalimbali.
Walimwambia kuwa wao ni wasomali ingawa walikuwa wanaonge kiswahili kizuri sana. Walikuwa ovyo au hawakuwa katika hali ya ustaarabu na walimtishia kwanza kabla hawajaanza mchakato wao, wakamwambia utakuwa salama kama utashirikiana nasi na yeye alitekeleza kama walivyotaka.
kwa mategemea walimuuliza alitaka kushushwa wapi na alipowajibu walimshusha jengo moja kabla ya ofisini kwake, wakamrudishia computer yake na kumwambia "tunajua wewe ni mmarekani kwahiyo unaishi kwa kutegemea computer!" Na alipowaambia kuwa ataweza kuwatrace kwa kutumia iphone yake nayo pia wakamrudishia.
Hawakumfanya lolote la kumuumiza mwili lakini kijasho kilikuwa kimemtoka. KWa sasa yuko kituo cha polisi anaandika maelezo.

Ndugu watanzania wenzangu tunapoelekea mwisho wa mwaka kuweni makini sana na pale airport kama dereva taxi humjui bora umwite unayemjua aje kukuchukua.
Asante kwa taarifa nzuri sana.
 
Wazungu nao siku hizi wana njaa na wamekuwa wasanii. Wanapiga deal harafu wanadai wameibia ili walipwe na bima. Coz wengi wanaokuja huku huwa wanakatiwa bima kwao
 
aisee huo mkwara wa iphone ningejua na mimi ningewaambia vibaka waliponiibiaga ya kwangu
 
Eti nitawatrace kwa iPhone!? Jamani hebu tuache utani basi! Yaani wewe umeibiwa na unafahamu kabisa wakiboog steps wakachukua kifaa ki1wapo utawanasa eti unawakumbusha? Hekaya za Alf-u-lela U-lela hizi!
 
Jamani mnataka ukweli Tanzania si nchi ya Amani kama tunavosema , wizi kila sehemu mpaka mtu unakua huna freedom ya kutembea kwa kuogopa kukabwa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hapana mkuu hapo kwenye red huo usafiri hauna rekodi ya Mashaka
Mimi ninazo tano na zinzpiga kazi vizuri sana, nilimiliki pikipiki mbili moja
ikapata ajali nyingine ikaibiwa na majambazi baada ya kumjeruhi vibaya
dereva ambaye nilimkabidhi.

Inategemea kuna wakati madreva wanawapa madeiwaka ndo wanaiba, mimi niliibiwa pochi asubuhi na bajaji akakimbia.
 
Back
Top Bottom