TAHADHARI: Kuweni waangalifu na mtu aitwaye LINDA MATIAS kwa watumiao Facebook

Hii ni 2012...ukiona mtu anatapeliwa kwa style hiyo basi hana haja ya kuwa na hiyo Facebook account to start with. Atulie humu jamvini na kujisomea blogs tu. Ni Ushauri wa bure tu.
 
Mkuu,nashukuru kw notification,bt kama ulipigwa POLE and Jst take it as a lesson. Ktk utandawizi huu watu kama hao huwa hawakosi.Afu hao wanadhalilisha madada.Kwa nn wajipendekeze pendekeze kwa wanaume?eti cna nauli?For th fest tym!hata kama ningekuwa Nafanya kazi BOT!Usiruhusu illogical ideas zikuingie kchwan.
 
with all due respect, fb huko watu wepesi sana upstairs, kama kweli yuko SMART aje aibe na hapa JF
 
Tamaa mbaya jamani wanawake wako live kibao wanasubiri kuguswa 2 unakwenda kujilia unavyotaka, na akili zako za kuazima unahangaika mpaka unaibiwa na mademu wa kwenye fb, huu ni ujinga uliopitiliza,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom