TAHADHARI: Kutoa lift kwa raia usiomjua sio Salama tena. Mwanajeshi adaiwa kuibiwa gari

Adil_101

Senior Member
Jul 26, 2022
110
339
Yani wamempiga Premio yake mpya kabisa mzigo number EAD anaangalia.

Ukiona kuna raia mgeni anatengeneza mahusiano na wewe kwa speed kuwa makini.

Story iko kwa Millard AYo ila kwa ufupi.

IMG_20230331_193944.jpg
 
Mwanajeshi amekutana na jamaa akajitambulisha ni mwanajeshi mwenzake..

Mwanajeshi alikua na safari ya Arusha kutoka Moshi akampa lift Mjeshi mwenzake..

Wakafika USA jamaa akashuka wakabadilishana number..

Jamaa akamwambia anahitaji kununua kiwanja/shamba Arusha amsaidie.

IMG_20230331_194229.jpg
 
Mwanajeshi amekutana na jamaa akajitambulisha ni mwanajeshi mwenzake...
Mwanajeshi akamtafutia shamba Jamaa ake, Jamaa hakulipenda.

Akamshauri kabla hawajaenda kuangalia eneo lingine wapige supu.

Wakaingia Bar wakati wanapiga supu Jamaa akaomba funguo akaweke mafuta Serikalini.

Ndo gari ikawa imeondoka hivyo, anyway ukiiona sehemu toa taarifa.

IMG_20230331_194313.jpg
 
Mwanajeshi akamtafutia shamba Jamaa ake, Jamaa hakulipenda.
Lengo la kukuletea hili ni wewe uwe makini zaidi maana dunia imechafuka.

Unaweza ukawa unafanya jambo flani kwa wema mwisho wa siku ikawa balaa.

Kuwa makini maana shuhuda za wahanga zinazidi kuongezeka.

Jitahidi usiwe mmoja wapo ndugu kuibiwa gari lenye marejesho inauma.

Fuatili mkasa mzima kutoka kwa MillardAyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom