TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Naisubiri picha ya tapeli mpaka Leo haijaja
Nadhani bidada alitunga tu hii habari haina ukweli wowote kama ina ukweli basi dada naye kuna sehemu alimpunja jamaa yaani aliyeuza cheni kauza cheni bandia aliyenunua cheni katoa hela bandia.

nina wasiwasi maana mdau kagoma kabisa kuleta id au picha ila kaleta habari tupu
 
Siku kadhaa zilizopita niliweka Uzi nauza simu S3 ,Nikapata mteja akanitumia SMS ila Ile simu tayari nilishauza.
Nikaona nimtafutie simu kwa mtu mwingine.

Wakati anapelekewa simu akaione kumbe ameshaandaa wezi wake tayari, wakamkaba Yule aliyepeleka simu wakamuibia Ile simu.

Huyu mteja alidai yuko Sinza darajani baada ya tukio akadai yuko Kimara. Na akakana kutaja Sinza.

Mwizi wangu najua humo humu na namba yangu umeichukua humu na umefanya nasambazwa Whatsap Kama mwizi wa simu ila nitakupata tu. Halafu mbaya zaidi ni Mtandao wenye wanaume na wanawake.

Tahadhari ukipata mteja muite aje eneo ambalo ni salama.
 
Sijaelewa....namba uligawa kwa mtu au aliipataje? Ulitafuta simu kwa nani? ? Je namba ya huyo mtu uliye mtafuta ipo? Kwanini usiiweke hapa madam
 
Namba yake bado
Sijaelewa....namba uligawa kwa mtu au aliipataje? Ulitafuta simu kwa nani? ? Je namba ya huyo mtu uliye mtafuta ipo? Kwanini usiiweke hapa madam
inafanyiwa kazi.kesi iko polisi tukimaliza nitaiweka hapa.
 
Namba yake bado

inafanyiwa kazi.kesi iko polisi tukimaliza nitaiweka hapa.
Oouh nimekuelewa.

Poleni saana. Humu sio pazuri. Ngoja nielekee mtaa wa pili kuna mwenzangu naye kapigwa
 
siku nyingine kuweni makini sio kila mtu yupo kwa wema na usiende kuoanana na mtu hamjuani ukiwa mwenyewe pia jaribu kuchek mazingira yapoje
 
Back
Top Bottom