Wakuu,
Nashauri tusiituhumu CCM kuwa imehusika katika kulipua bomu huko Arusha katika mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA, bila utafiti, upelelezi wala uchunguzi hata wa awali.
Si vyema kuhusisha CCM na matukio haya ya milipuko ilhali hatuna hata chembe ya ushahidi wa kuhituhumu CCM, nawataka wote mnao tuhumu CCM kuwa imehusika muache, kwani mnawakwaza 'wafia chama'.
CCM haina ajenda ya siri na hili taifa. Kwa mantiki hii, haiwezi kuendesha shughuli ambazo baadhi ya wanachama humu mnatoa tuhuma dhidi yake kuwa imehusika na mlipuko huko Arusha.