Mwanafalsafa
Platinum Member
- Jun 24, 2007
- 633
- 788
Napenda kuwashtua waBongo kuwa sasa hivi Celtel ni Network moja katika nchi 12 (Burkina Faso, Chad, Malawi, Niger, Nigeria, Sudan, Tanzania, DRC, Congo, Gabon, Kenya, na Uganda)
Kikubwa ni kwamba Nigeria imo katika network hii kwa hiyo inaweza kuwarahisishia kazi matapeli wa Kinaijeria kwani sasa hivi wanaweza kupiga simu ikaonekana kama wanaongea kutokea hapa hapa Bongo.
Hata hivyo naomba waBongo watundu na wabunifu wachukue shule toka website ya http://www.419eater.com jinsi ya kuwageuzia vibao hawa matapeli wanaotumia e-mails na kuwakomba pesa. Hii itakuwa game moja safi sana.
Kuna kesi moja safi sana ambayo unaweza kuanza kujifunzia. Ifuatilie hapa http://www.419eater.com/html/martins_jide.htm Katika kesi hii tapeli la Naijeria liligeuziwa kibao na kulizwa Paundi za Uingereza 400.
Si vibaya ukisambaza taarifa hii kwa magazeti na vyombo vingine vya habari ili waBongo wenzetu (especially madingi) ambao hawatumii sana mtandao wawe makini.