TAHADHARI KUBWA: Ujumbe Huu Haujatolewa Na Rais Magufuli.

Uyo jamaa ni mpuuzi mwenye iyo akaunti,sio magufuli natambua tangu kitambo,ni mpuuzi kama wengine,akaunti kuwa verifies ni kawaida tu
 
Uyo jamaa ni mpuuzi mwenye iyo akaunti,sio magufuli natambua tangu kitambo,ni mpuuzi kama wengine,akaunti kuwa verifies ni kawaida tu
Yani inawezekana account mbili tofauti zenye majina sawasawa ziwe Verified Twitter?

Embu jaribu kutumia username ya mtu Twitter uone kama itakubali hata li JF halikubali sembuse giant kama Twitter
 
Wapinzani wameona mbali kumsusia fisi bucha wangejifanya kugombea nyama wangeozea jela wote hata upite uchaguzi mkuu,aliwezabomolewa watu nyumba na kufukuza watu bila huruma kipi ashindwe.
 
Wadau hamjamboni.
Ujumbe huu haujatoka kwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.

It's totally Fake News.

Indeed Fake News Story From Low Life Reporters!

View attachment 1258278
Wewe kicheche unatumika vibaya nani kakuruhusu kuingilia uhuru /faragha ya Makufl? Ivi unajua nikosa kumjibia mtu wakati mwenyewe yupo?
Acha uzuzu jibu ya kwako usilete ujinga wa G.Msigwa.
 
Back
Top Bottom