Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,443
- 6,986
Mmmmmh!
Yani inawezekana account mbili tofauti zenye majina sawasawa ziwe Verified Twitter?Uyo jamaa ni mpuuzi mwenye iyo akaunti,sio magufuli natambua tangu kitambo,ni mpuuzi kama wengine,akaunti kuwa verifies ni kawaida tu
Hapa ndipo napoona kabisa kuna watu hata ubongo wao umeenda likizo!
ndio uhalali ya taarifa ulipo hapoHalafu jamaa hajui matumizi ya nukta kabisa.
Msemaji wa Rais amekanusha ujumbe huu wa Tweeter
Hata kama ni feki lakini si ndio kilichopo moyoni kwa mkulu.Furahini nyinyi kizazi cha laana na dhuluma kwa Taifa letu hili.
Wadau hamjamboni.
Ujumbe huu haujatoka kwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.
It's totally Fake News.
Indeed Fake News Story From Low Life Reporters!
View attachment 1258278
Huu ujumbe ni wa Rais Magufuli kabisa hata mwandiko ni wake bila ubishiWadau hamjamboni.
Ujumbe huu haujatoka kwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.
It's totally Fake News.
Indeed Fake News Story From Low Life Reporters!
View attachment 1258278
Sasa iweje Mh. Jafo aseme majina ya waliosusia uchaguzi hayatafutwa ktk ballot papers?Wadau hamjamboni.
Ujumbe huu haujatoka kwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.
It's totally Fake News.
Indeed Fake News Story From Low Life Reporters!
View attachment 1258278
Wewe kicheche unatumika vibaya nani kakuruhusu kuingilia uhuru /faragha ya Makufl? Ivi unajua nikosa kumjibia mtu wakati mwenyewe yupo?Wadau hamjamboni.
Ujumbe huu haujatoka kwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.
It's totally Fake News.
Indeed Fake News Story From Low Life Reporters!
View attachment 1258278
Ata serkali haihusiki maana hii ni acaunt binafsi so serkali kujibia acaunt binafs ni upumbavuTutakuaminije au wewe ni msemaji wa serikali..?acha serikali ijisemee yenyewe