TAHADHARI KUBWA: Ujumbe Huu Haujatolewa Na Rais Magufuli.

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau hamjamboni.
Ujumbe huu haujatoka kwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.

It's totally Fake News.

Indeed Fake News Story From Low Life Reporters!

FB_IMG_15732801937697021.jpeg
 
Kwani akaunt inayotoa taarifa Mara kwa Mara kule twitter mbona in hii sasa imekuaje mnaikana Leo.Halafu alichoongea naona ndiyo kinachoendelea.Tuwekee akaunt halisi anayotumia huko twitter kama hii unaikataa
Kuna haja ya kwenda memkwa
 
Ukiwa bashite huwezi kujificha. Sawasawa na kwenye giza nene nuru ikitokea inaonekana vema. Nchi imefikia hapa kwasababu ya kuwa na viongozi feki waliosoma kusikojulikana na kuja na vyeti feki sasa ndo asilimia kubwa ni decision maker wa nchi. What do you expect from these persons?
 
Kwani akaunt inayotoa taarifa Mara kwa Mara kule twitter mbona in hii sasa imekuaje mnaikana Leo.Halafu alichoongea naona ndiyo kinachoendelea.Tuwekee akaunt halisi anayotumia huko twitter kama hii unaikataa
Hiyo ndiyo account halisi
 
Ingekuwa akaunti ya Lyakurwa ningetia shaka, lkn maneno hayo yanaendana na tabia za mwenye akaunti maana huwa hajui aongee nini wakati gani. Huna haja ya kutumia nguvu kukanusha kitu kilicho dhahiri kama hiki. Huyu ni yeye "Intaprinuaa wa Siasa"
 
Back
Top Bottom