Tahadhari: Kama unakula usifungue, hapa ni mizani msata

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,437
1,597
Wakubwa nisiwachoshe kwa maneno mengi, acha picha ziongee



choo kwa nje.jpg

Hapa ni kwa nje KAMJENO KAMETULIA INGAWA KACHAFU KIDOGO

pee bowl.jpg

Hivi ni vya kukojolea, hivyo vilvyozibwa manake NOT REACHABLE

sink.jpg

Ukimaliza unatakiwa utunze afya yako kwa kuosha mikono yako hapa MAJI UNAJITEGEMEA


Toa maoni yako kuhusu picha hizi
 
Ni ajabu sana kwa nini mahala hapa pamekuwa hivi!
Mzani ni mpya tu, na kwa nje eneo lote la mzani limekaa vizuri sana!
Labda ni sera za kisasa za kutoajiri wahudumu!
 
Niliambiwa ni eneo la Mtoto wa Mwinyi.......


Nilishangaa badala ya watu kuji help ndani walikuwa wanamaliza mambo yao nyuma ya hicho kibanda. Hata sioni maana ya kibanda kuwepo hapo.
 
Nilishangaa badala ya watu kuji help ndani walikuwa wanamaliza mambo yao nyuma ya hicho kibanda. Hata sioni maana ya kibanda kuwepo hapo.

kuna hotel ikombioni kujengwa ambayo ni ya mtoto wa mwinyi nadhani hicho ni cha muda tu...
 
kwa nje nzuri kama makaburi ya waisrael ambayo hupakwa chokaa kwa ne kumbe ndani ni mizoga ya wafu
 
:A S angry:KUNA SIKU NILIINGIA HAPO NIKASHINDWA KU PEE ndani ikabidi niupigie nyuma ya ukuta hapo kwa wanawake wanaweza kuambiukizwa la ajabu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom