chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,960
- 20,532
Naona kama tunayakimbia mataifa ya magharibi pengine kwa sababu yanatubana tufate haki za binadamu na demokrasia
Kwa upande wa Urusi,tujikumbushe tu,hili no taifa la kimafia na liko tayari kulinda maslahi yake kwa gharama yoyote ikibidi,navuta picha kama ile migodi ya dhahabu ingekuwa inamilikiwa na urusi!
China tunaowakimbilia, wanaihenyesha Zambia
Nadhani tusikurupuke kuyaegemea mataifa haya,kimsingi afrika si kipaumbele cha urusi
Cc:dk shika