Tahadhari: Hivi tutajuaje kama member wa JF akitutoka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari: Hivi tutajuaje kama member wa JF akitutoka?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Titans, Dec 2, 2011.

 1. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 868
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  Wadau nimekua najiuliza sana hili swali kila siku..mana humu ndani tunajuana kwa ID tu na wengi hatujuani majina halisi..hivi mfano member mmoja wetu akatutoka kuna any means ya kujua na kutoa pole zetu??au ndo tutaona mtu kapotea tu haonekani jamvini??moderators mwaweza kutusaidia hili.

  i love JF

  nawasilisha.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kuna watu kibao wamejaribu kuweka msingi wa hilo suala...lakini naona admins wanaendelea kutafakari.
   
 3. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 868
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  Okay..inabidi invisible na washika dau mtuambie bana..maana kuna watu nimewamisi sana kule jukwaa la siasa, mda mrefu sana,siombei mabaya ila i expect to hear from them soon.its ambigous.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Jaribu kutembelea hapa uone jinsi wadau walivyoongea!

  BONYEZA-HAPA-KWA-HII-LINK.
   
 5. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni point ya msingi..............!!!
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  na kweli hivi itajulikanaje.
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tatizo humu ubandia bandia mwingi! Tujifunze kua wakweli na wawazi inapobidi! Itasaidia !
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ujue mi ni yule adui jirani yako.
  Bora tu hivi hivi ukinijua utanichinja

   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  zile picha zangu tafadhali uziweke kwenye album ukurasa wa kwanza....zisipotee....jasti in kesi....
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sasa itabidi unitumie za single, maana nilizo nazo zote umepiga na yule nanihiino!...kama hii hapa chini, itafaa kweli?

  [​IMG]
   
 11. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwani Mr. Ebbo na Fifi walikuwa wanatumia ID gani?
   
 12. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ni nani huyo fifi?
   
 13. Utamu Extra

  Utamu Extra Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli inabidi itafutwe namna ya watu kufahamu mwenzetu anapotutoka,au wakati wa kujisajili wahusika waweke kipengere cha kusabmit picha halisi,jina halisi na mawasiliano ili ikitokea yakutokea kuna kuwa na paji maalumu tunawekewa picha ya mhusika,jina kamili na ID yake aliyokuwa anatumia.
   
 14. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Fifinane.
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  huna member unaefahamiana nae humu ndani hata mmoja?.....
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hujui kuwa kuna wengine hata kivuli chao wenyewe wanakiogopa?
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hii ni hatari sana......

   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Just in case husb wangu yuko JF atawahabarisha..ila kuna ka umuhimu ka hili swala ....mala unashangaa fulani haonekani .,,Pm Pm hakuna jibu .loh
   
 19. Utamu Extra

  Utamu Extra Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ndio kwanza nimejiunga simfahamu mtu memba yoyote.
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ni wazo zuri ila ni gumu! Members wa eneo moja wanaweza kukutana lakini wote kwa pamoja ni ngumu maana jf ipo worldwide. Lakini mkijipanga members wa jiji la Mbeya au Mwanza mnaweza kukutana.

  Ugumu mwingine ni nature ya kazi mtu anayofanya. Kwa mfano wengi walioko serikalini halafu kuna nyaraka za siri kama barua ya jairo mtu anazipost. Akifahamika hatapost tena maana kibarua chake kitakuwa hatarini!

  Lakini members kama wa mmu hawana sababu ya kuogopa kukutana maana mambo ya huko hayana sababu ya kujificha unless ukute anatudanganya!
   
Loading...