Tahadhari:-Eti Sisi Ndo Tunakusanya Timu Kwenda Kushiriki Chan, Huku Wengine Wamechukua Tahadhari Ya Corona!

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,335
5,184
Tanzania tunachekesha sana, yaani wenzetu wanaangalia tahadhari kwa kupambana na CORONA, sisi hatuoneshi kujali wala kuwa na tahadhari tofauti na kusalimiana kwa MIGUU, eti ndo tahadhari kubwa, tunajiaminije pale tulipowatuma watoto wetu U.g Kwenda kucheza?

tunajiaminije pale tunapokusanya timu yetu kutoka nje ya nchi kwenda kucheza mpira na Tunisia au CHAN huku hata ulaya bara zima mpira ni kama wamezuia? Au kwa kuwa sisi ni donor country? Tutahimili kweli?

Tayari hapo nyumba ya jirani Kenya tumesikia tayar umeingia. Tunaogopa nini kujifungia nchini kwetu na watu wetu wasitoke kwenda huko kuchukua hili balaa na kulileta hapa nchini? nawakilisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom