SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

Stories of Change - 2021 Competition

Jurudyiza

Member
Jul 15, 2021
70
96
Mtoa mada ##JURUDYIZA##

Wapendwa hakuna jipya chini ya jua asilimia kubwa ni ubatili mtupu.

Kwa sasa watu wengi wanajikita kutafuta utajiri wa haraka bila kujua harakaharaka haina baraka Na ujue tu kwamba Sayansi na teknolojia kwetu Afrika bado inanufaisha wachache tena nao wananufaika kwa kuhadaa wengi wasiojua au wale wanaokurupuka kufanya maamuzi.

Biashara za mtandao kwa sasa zimewaliza wengi wanaotamani kufanikiwa zaidi kwa kutumia njia za mkato na biashara hizo ni hadaa sana na wao wanao zihubiri asilimia kubwa hawajanufaika bali nao ni walaibu tu wakiamini ipo siku watatoka tu mwishowe huwa hawasimulii tena hasara wanazozipata.

Ndugu zangu mimi ni mhanga mkubwa, nimefanya biashara mbalimbali japo si zote ila nakupa mfano wa chache nilizo na uzoefu.

Kwa ukweli wangu naamini mtaunga mkono kama kweli ninyi ni wakweli na uhalisia ni kwamba kwenye biashara za mtandao mifumo yake ni migumu kukutajilisha na huwezi kupata utajiri kiurahisi. Mfano wa biashara hizo ni kama zifuatazo:-

Forex na mfano wa hizo, hapa najua wapo wengi wanatamani kufanya biashara hizo na baadhi yao wanajigamba wana mafanikio makubwa, Du hapana nasema hapana! Naamini kabisa kati ya watu 100 wanaofanikiwa ni watu 3 hadi 5 na huo ni mtazamo wangu tu ila najua hata watu hao ni wengi sana na hii inaniuma sana.

Kwenye mfumo huo wa FX wanaofanikiwa naamini kabisa ni wale walioutengeneza mfumo huo wa biashara ukianzia na mifumo yao ya kufanyia biashara iwe MT4 au MT5 kute huko ni sehemu ya kuteketezea fedha.

Kwa mfano mtu anaweza kuweka USD 200 lakini ndani ya dakika 20 akawa amepata hasara ya hela yote sasa hiyo ni biashara kweli! Hapana mtamaliza hela zenu bure ni bora hiyo USD 200 zaidi ya TSH 400,000/= ukafanyia biashara nyingine au huu ni uongo? Hata biashara ya nyanya huwezi kupata hasara hiyo yote kwa mpigo ni biashara kweli hiyo au balaa!

Mimi naamini kabisa hakuna biashara ya kukupatia faida kwa mkato na ukawa tajiri zaidi ya kujituma na kuwa mbunifu katika biashara ndogo unayoanza nayo wewe mwenyewe kuliko hizi zinazohamasishwa na vijana.

Wengine wamegeukia kubashiri michezo mbalimbali kwa kuangalia dau linalowekwa, ndugu yangu nako huko usithubutu utamaliza pesa zako tu, kupatia timu zote hasa kwenye JACKPOT sio mchezo ndio maana wanaobashiri wanaweza kuwa 100000 lakini asipatikane hata mmoja, kwenye hii michezo hakuna cha odd ndogo wala kubwa wengi wanalia na faida inaend kwa yule aliyetengeneza mfumo huo ila nyie mnaliwa tu.

Ukija kwenye biashara zenye sura ya upatu kama forever na nyinginezo nazo hamna jipya chini ya jua, ninauzoefu nayo na nimeifanya simaanishi ni biashara mbaya bali uwezo wa kufanikiwa ni mdogo sana wala hatipaswi kudanganyana. Ni vema mtu unapomhamasisha ajue kwamba biashara hiyo ni nzuri ila pia ni ngumu sana kwa mfano unapewa bidhaa/virutubisho uuzie watu ili wanunue na kwa sababu utawaaminisha kwamba zitawasaidia halafu wao wananunua na haziwasaidii au unamuunganisha mtu kuingia kwenye biashara hiyo kwa zaidi ya Tsh210, 000/= Za kianzio ambapo akishaingia anawaza tu kuwa tajiri bila kujua kwamba wakati mwingine hata bidhaa alizopewa kwa kuanza nazo wakati mwingine hata hazipati wateja! Mwishowe unavunja urafiki naye na kuwa maadui,.

Ni heri sisi tubadilike na tujue biashara zinazoendelea mitandaoni zinamaliza na kukausha fedha tunazozitafuta kwa nguvu na jasho letu na hizo fedha zikiteketea huko tunabakia hatuna wa kumlaumu zaidi ya kuumia mioyoni mwetu tu.

Nawaomba ndugu zangu tufanye kazi kwa bidii na tuwe wabunifu kwa kutengeneza vyanzo sahihi vya fedha na usihadaike na kudanganywa kuingia kwenye biashara ya mtandaoni bila kuwa na elimu ya kutosha kwani huko unaweza kuishia kulia tu.

ASANTENI SANA.
 
Mimi nakubaliana na wewe kwa sehem ndogo ila kwa sehem kubwa nasema hapanaa.

Umezungumzia MLM yaani Milyu Levelling Marketing. Ndio hiyo ya kusema walete wawili wakishajiunga inakuwa tayari timu yako.

Huu ni uongo na wanatajirika wachache kama ilivyo sema.

Umesemea Forex. Nakubali kuwa wengi wanapigwa pesa ila wengi hawakai chini kupiga shule. Akisikia million tatu ha mtu na yeye anatala kesho apate yake.

Kwa hiyo kupata maarifa au shule ya Forex ndio mango mzimaa.

TUJE KWENYE HOJA YANGU.

Online business ziko nyingiiii mnoo yaani unajua nyingi??

Na hazihitaji mtu ajiunge na zingine hazihitaji hata uwekezaji wa fedha. Ni wewe na muda wako na Mb zako.

Tuachane na MLM na biashara za kupigana fiksi.

Haya maglobal cjui Forever cjui smile I care,

Na huu ni ukweli mtakuja kunikumbuka.
Vijana wa Kitanzania tusipofanya online business tutaishia kuwa maskini kila siku.
 
Mtu mwenye maarifa/knowledge ya codes hizo anapataje hiyo pesa
Kupitia Ads, pia kuweka system ya malipo kama m-pesa, tigo na mastercard. Pia kuna Affiliate Program kama una wadau wengi kwenye website yako au App. Kiufupi ukiijua coding vizuri hautakaa usumbuke na ajira
 
Pia unahitaji uwe na capital ya Mana ya ku execute standard lot Kama vile unavyobofya micro lot mkuu.
Naomba niulize hivi waliposema kuwa 95% of retail traders fail, na 5% win, walimanishaa kwamba cfd brokers wote duniani, ndio wanajumuika kutoa hio hesabu kwamba wiki hii speculators waliowin ni kadhaa na waliofeli ni kadhaa, so ni sawa na average ya 95% loose na 5% win, nimeuliza hivyo kwasababu kwa akili ya kawaida tu, hio hesabu huwezi kuipata kwa kutumia broker mmoja ukasahau kuna retail traders wanatumia mabroker wengine, au sijui niko niko sawa.
 
Yes ni takwimu ya brokers wote mkuu so wapiga average.
Wenzetu Wana keep data Sana. Nyumba zilizouzwa USA kila mwezi zinajulikana kumbuka.
Piana mengineyo like manunuzi ya nyumbani yanajulikana kwa kila mwezi ili kujua country health economy.
 
Mtoa mada ##JURUDYIZA##

Wapendwa hakuna jipya chini ya jua asilimia kubwa ni ubatili mtupu.

Kwa sasa watu wengi wanajikita kutafuta utajiri wa haraka bila kujua harakaharaka haina baraka Na ujue tu kwamba Sayansi na teknolojia kwetu Afrika bado inanufaisha wachache tena nao wananufaika kwa kuhadaa wengi wasiojua au wale wanaokurupuka kufanya maamuzi.

Biashara za mtandao kwa sasa zimewaliza wengi wanaotamani kufanikiwa zaidi kwa kutumia njia za mkato na biashara hizo ni hadaa sana na wao wanao zihubiri asilimia kubwa hawajanufaika bali nao ni walaibu tu wakiamini ipo siku watatoka tu mwishowe huwa hawasimulii tena hasara wanazozipata.

Ndugu zangu mimi ni mhanga mkubwa, nimefanya biashara mbalimbali japo si zote ila nakupa mfano wa chache nilizo na uzoefu.

Kwa ukweli wangu naamini mtaunga mkono kama kweli ninyi ni wakweli na uhalisia ni kwamba kwenye biashara za mtandao mifumo yake ni migumu kukutajilisha na huwezi kupata utajiri kiurahisi. Mfano wa biashara hizo ni kama zifuatazo:-

Forex na mfano wa hizo, hapa najua wapo wengi wanatamani kufanya biashara hizo na baadhi yao wanajigamba wana mafanikio makubwa, Du hapana nasema hapana! Naamini kabisa kati ya watu 100 wanaofanikiwa ni watu 3 hadi 5 na huo ni mtazamo wangu tu ila najua hata watu hao ni wengi sana na hii inaniuma sana.

Kwenye mfumo huo wa FX wanaofanikiwa naamini kabisa ni wale walioutengeneza mfumo huo wa biashara ukianzia na mifumo yao ya kufanyia biashara iwe MT4 au MT5 kute huko ni sehemu ya kuteketezea fedha.

Kwa mfano mtu anaweza kuweka USD 200 lakini ndani ya dakika 20 akawa amepata hasara ya hela yote sasa hiyo ni biashara kweli! Hapana mtamaliza hela zenu bure ni bora hiyo USD 200 zaidi ya TSH 400,000/= ukafanyia biashara nyingine au huu ni uongo? Hata biashara ya nyanya huwezi kupata hasara hiyo yote kwa mpigo ni biashara kweli hiyo au balaa!

Mimi naamini kabisa hakuna biashara ya kukupatia faida kwa mkato na ukawa tajiri zaidi ya kujituma na kuwa mbunifu katika biashara ndogo unayoanza nayo wewe mwenyewe kuliko hizi zinazohamasishwa na vijana.

Wengine wamegeukia kubashiri michezo mbalimbali kwa kuangalia dau linalowekwa, ndugu yangu nako huko usithubutu utamaliza pesa zako tu, kupatia timu zote hasa kwenye JACKPOT sio mchezo ndio maana wanaobashiri wanaweza kuwa 100000 lakini asipatikane hata mmoja, kwenye hii michezo hakuna cha odd ndogo wala kubwa wengi wanalia na faida inaend kwa yule aliyetengeneza mfumo huo ila nyie mnaliwa tu.

Ukija kwenye biashara zenye sura ya upatu kama forever na nyinginezo nazo hamna jipya chini ya jua, ninauzoefu nayo na nimeifanya simaanishi ni biashara mbaya bali uwezo wa kufanikiwa ni mdogo sana wala hatipaswi kudanganyana. Ni vema mtu unapomhamasisha ajue kwamba biashara hiyo ni nzuri ila pia ni ngumu sana kwa mfano unapewa bidhaa/virutubisho uuzie watu ili wanunue na kwa sababu utawaaminisha kwamba zitawasaidia halafu wao wananunua na haziwasaidii au unamuunganisha mtu kuingia kwenye biashara hiyo kwa zaidi ya Tsh210, 000/= Za kianzio ambapo akishaingia anawaza tu kuwa tajiri bila kujua kwamba wakati mwingine hata bidhaa alizopewa kwa kuanza nazo wakati mwingine hata hazipati wateja! Mwishowe unavunja urafiki naye na kuwa maadui,.

Ni heri sisi tubadilike na tujue biashara zinazoendelea mitandaoni zinamaliza na kukausha fedha tunazozitafuta kwa nguvu na jasho letu na hizo fedha zikiteketea huko tunabakia hatuna wa kumlaumu zaidi ya kuumia mioyoni mwetu tu.

Nawaomba ndugu zangu tufanye kazi kwa bidii na tuwe wabunifu kwa kutengeneza vyanzo sahihi vya fedha na usihadaike na kudanganywa kuingia kwenye biashara ya mtandaoni bila kuwa na elimu ya kutosha kwani huko unaweza kuishia kulia tu.

ASANTENI SANA.fikili huo mfumo wa ECN ni nani aliutengeneza na kwa manufaa gani??

  1. we unafikili huo mfumo ni nani aliutengeza na kwa manufaa gani??
  2. je broker anauwezo wa kutengeneza MT5/MT4 au huwa kuna utaratibu wa kuulipia kutoka mamlaka husika?? ila najua tu broker anatengeneza website itakayokusaidia kuweka na kutoa pesa sijajua kwa upande wa MT4, lakini kingine ukishalogin kwenye mt4 kuna option ya kukulink na broker wako sasa sijajua kama hiyo option broker anailipia ili kulink account yako kwakwe kupitia hiyo platform ya MT5/MT4?
  3. Pia napenda kuulizaa je hiyo market inavyorun kwenye MT5/MT4 wanasema ni reflection ya ECN network, je nawao kwenye entire market wanatumia tools kama zetu kama kuchora trendline na kuweka orders e.g buy limit, buy stop, sell limit,sell stop na market excusion na kama wanafanya hivyo pending oders zao nani anazitrigger ziwe excuted, kule si wanaexchange real money sio speculation yaani pesa inamove kiukweli kutoka bank flani kwenda bank nyingine sasa kuna haja gani ya kuwa na pending orders kama sisi????, dah i have alot of complicated questions lakini hayo yanatoshaa huwa sipendi kusoma kitu juujuu, huwa napenda nikielewe ili hata jilani yangu na yeye aweze kuelewaa nikimfundisha
  4. je unapofanya cfd busness ikatokea broker umemla pesa nyingi, na baadae akakufowards kwa liquidty providers ambaye nazani ni banks(sina uhakika) , sasa kumbuka unatrade kupitia kwa broker sasa ukiendelea kuwin manaake zamu hii broker hatokupa pesa yeye, ila banks ndo watakupa na broker yeye atanufaika kwa spreas+transaction costs, sasa we hufikiri kuwa huyo bank (liq. prvder) hatopata faida sana kama broker anayeshirikiana naye kwababu yeye akihedge your position faida yake ni pale wewe umefeli yeye ndio afaidike na wewe ukiwin yeye kapoteza huoni kama anarisk muda wote pesa yake, kwa nini yeye kama yeye asichukue faida ya broker na muda huo akahedge position yako, yaani hapa akipoteza position , anabaki na pesa ya commision,spread,na transction costs ili kupunguza hasara ya postions anazopata kutoka kwa retailtraders wanapowin, ahaaaa naomba watu wa finance,uchumi mtupe majibu tafadhari!
  5. liqudty providers, ama banks kama NMB,CRDB,ABSA hawawezi kusajili kampuni ya CFD broker kwa tanzania, na pia wakawa liquidty providers wetu(yaani wahedge positions zetu) ili wapate both spreds,commision,transction costs kama faida
  6. kwa nini liquidty providers wanafanya kazi na brokers wengine kwenye hili gemu la beting value on decrease/increase in financial instruments? kwani wao hawawezi kuwa both cdf brokers and same time ni liquidty providers
  7. the first time nasikia FINANCIAL INSTRUMENTS, nikajua kwamba instruments ni apparatus ama machine za kuprocess maswala ya fedha, nikashangaa tena kukuta mfano wake ni currency, et kweli currency nayo ni machine?? ahaaaa! time come nikatambua financial instrument ni product au goods(bidhaa) za masoko ya fedha dah amabazo moja ya masoko ni currency amabpo bidhaa ni sarafu, na stoks market ambapo bidhaa ni share ama hisa kama pale DSE dsm . dah elimu hii haina mwisho
  8. hivi kwa nini walianzisha CFD busness?
  9. je hata banks zetu wanaspeculate cfd kama sisi, kwa kutumia pesa za wateja wao ili wapate faida maladufu?? coz naona mapato ya banks tofauti na zile transction costs za wateja wao,loans kwa wateja, uwekazaji rela estate, sijuagi bishara gani wanafanya zingine ili wapate faida.
  10. je mtaji wa kuwa cdf broker ni kiasi gani? hadi kufikia kuruhusiwa tanzania? kama ontario alivyofungua kampuni yake???
  11. hivi kwa nini ontario amefungua kampuni ya cfd busness wakati ni proffessional trader?, ila kwa akili yangu nahisi anakompaset fund anazopoteza kwa wale watakaomula yeye, na pia costs za spreads,withdrw zinapunguza hasara kwa trade zinazofell na pia ubongo wangu unafikilia kwamba pesa mnayodepost kwenye system yake, kuna namna anazihamisha kwenda sehemu nyingne then wewe unakuwa unaona kwenye account yako namba tu za dola then anazitrade hizo pesa kwa mabroker wengne wakubwa na kuzidouble mala dufuu, kwa sababu anajua wengi mtaloose, faida anayopata kule ndo anawalipa nyie mliowin na pia hata kodi ya serikari analipa kwa hio pesa, so unakuta anavuna pesa mala dufu , na pia mazingira ya kufiliska ni madogo kwa sababu mnamlipa costs za transction, na pia anakulimit hakuna kutoa pesa chini ya 10usd, so anakufunga ndani ya NETI ya paka, so anakuwa na uhakika 100% kuwa atakunasa tu huwezi chomoka, ndo maana ukidepost withdrw inasumbua muda sana, hadi wengne mwezi mmoja hawajapata pesa yao hapo tambua na yeye anatrade kwengne ili aje akupe faida alopata so atakwambia mfumo wetu bado tunarekebisha, ahahahaha(Jamani sina UHAKIKA kwa hili ni IMAGINATION tu)
 
Watu wanapoteza huku wakiwa na matumaini makubwa kwamba ipo siku watakuwa wazuri katika kufanya biashara hiyo, Biashara ya fx unaungua kwa maumivu makali huku ukiwa unajiona ww ni shujaa, kama hujabahatika kuona mdahalo kama huu huwezi hata kufikiri ni jinsi gani watu wanapoteza fedha zao kupitia biashara hizi lakin pia kama umeathiriwa na biashara hizi unaweza kusoma kuanzia mwanzo hadi mwisho lakini bado ukaona wanaopinga biashara hii ni wajinga tu, mimi najiuliza hapa kwetu Tanzania wanaofanya biashara hii ni wangapi? waliofanikiwa ni wangapi? Mbona wengi wanalia wameunguza akaunti zao! Mbona hawatokei watu wa kujitanabisha jinsi ambavyo wamepiga hatua kubwa katika biashara hii? Biashara ya fx Inaonekana kama kivuli chenye Vito vya thamani, kivuli cha fedha nyingi sana na trader anapewa mtihani wa kubadili kivuli hicho kuwa reality na hapo ndio changamoto zinapoanzia. BIASHARA HII HAIFAI HUAMINI JARIBU, NI NANI AWEZAE KUBADILI KIVULI KUWA UHALISIA KAMA SIO UONGO NA MBAYA ZAIDI KIVULI CHENYEWE NI CHA FEDHA NA KINABADILISHWA KWA FEDHA!.
 
ahaaa mkuu
 
OC yangu kesho inatoka kutoka kwa DT(muweka hazina) ni baada ya kupigwa na jua site the whole week, ni tsh 150000 nadepost tena bila kujali maumivu ya jua niliyopitia ee mungu nisaidie nimfilisi DERIV broker, mwenyezi mungu niongezee maarifa mapya mengine niwe broker killer, nimfilsi hadi aniweke kwenye kundi la A Clients
 
hivi watu wanawezaje kuwa na mtaji mdogo sanaa let say usd50 na wantumia lot size kubwa kama 5lot na bado wanapata faida, inawezekana vipi?, mi naona kwa hio lot yaani candles zikiwa zinasheki lazima zitoe stop loss yako chapu, labda kama kuna spikes ambayo inamove direct pasipo kurudi nyuma ila kwa hali ya kawaida ni ngumu sana kuwa na low capita ukatumia lot size kubwaa na ukapata profit au wanaedit mikeka yao nini?? tena mtu unakuta kajitungua na lipear la USDMXN linakimbia kama roket, keisangora tusaidie kwa hili kama unaexperience nalo tupate jibu la uhakika , ili jumatatu tuingie tena mzigoni
 
Kwenye hii biashara ya fx kuna watu wanatengeneza faida ila sio kwa ku trade bali wao wa nakula kupitia migongo ya wanao trade na kuunguza akaunti zao.

Watu hao shughuli yao kubwa ni kushawishi watu wajiunge na kufanya biashara hii kupitia link zao na hivyo mtu anapokubali na kujiunga na kuanza kufanya biashara hii wao hupata bonus kila mteja mpya anapoweka fedha kwenye akaunti yake ili ku trade.

Ukiona mtu ni mkongwe katika biashara hii shughuli yake kubwa ni hiyo wala sio kwamba mwenyewe anaweza ku trade na kutengeneza faida kubwa zaidi ya yeye mwenyewe kuunguza akaunti yake, wengi hutumia mbinu mbalimbali ili kuweza kuwanyanganya watu walio tafuta fedha kwa jasho lao na kuwafanya wazidi kulia zaidi.

Wapo watu wanaojifanya magwiji wa biashara hii kwamba wao wanaijua biashara hii nje ndani wao shughuli yao kubwa hudai kwamba wanao uwezo wa ku trade na kutengeneza faida kubwa hivyo shughuli yao ni kutafuta watu walio tafuta fedha kwa jasho lao na kuwashawishi watengeneze akaunti zao mpya za fx then watawasaidia kutrade na Kuwatengenezea faida kubwa, hivyo kwanza hawafanyi kosa watakupatia link zao halafu utaweka mwenyewe kiasi kikubwa cha fedha kama vile USD 1000 - na zaidi na wao watajitutumua kwamba baada ya muda flani utapata faida kiasi fulani au kikubwa, My friend watu hao ni wabaya zaidi ya nyoka ogopa sana, utaishia kulia tu. Na WASTAAFU wengi huingizwa kwenye mtego huu sana.

Wengine huwa wanahadaa watu kuwa wana ROBOT wa kuweza kuwasaidia kwenye trading, ndugu yangu hao ni WEZI watakuibia fedha na kuondoka nazo wewe utabaki unalia tu, na watu hawa wapo wengi sana hata kwenye BITCON utawakuta online, watakushawishi uwatumie fedha online ili watumie BOT kukutengenezea faida, hao ni wezi usicheze nao watakuacha unalia.

Ndio maana mimi nawambia kwamba anayetaka kufanya biashara hii afanye tu ila wengi wanalia, Biashara hii inaushawishi mkubwa wa utajiri wa haraka ila uhalisia inawaliza wengi ambao huingia na kuifanya bila kushughulisha vichwa vyao kwa kufanya research ya kutosha.
 
Kwenye jambo la kubeti kweli Mimi mwaziliwa hakuna faida, hela nilioitumia ningekua naweka kaunt ningekua mbali sana, asante sana mwandishi kwa hii.
 
Mtoa mada ##JURUDYIZA##

Wapendwa hakuna jipya chini ya jua asilimia kubwa ni ubatili mtupu.

Kwa sasa watu wengi wanajikita kutafuta utajiri wa haraka bila kujua harakaharaka haina baraka Na ujue tu kwamba Sayansi na teknolojia kwetu Afrika bado inanufaisha wachache tena nao wananufaika kwa kuhadaa wengi wasiojua au wale wanaokurupuka kufanya maamuzi.

Biashara za mtandao kwa sasa zimewaliza wengi wanaotamani kufanikiwa zaidi kwa kutumia njia za mkato na biashara hizo ni hadaa sana na wao wanao zihubiri asilimia kubwa hawajanufaika bali nao ni walaibu tu wakiamini ipo siku watatoka tu mwishowe huwa hawasimulii tena hasara wanazozipata.

Ndugu zangu mimi ni mhanga mkubwa, nimefanya biashara mbalimbali japo si zote ila nakupa mfano wa chache nilizo na uzoefu.

Kwa ukweli wangu naamini mtaunga mkono kama kweli ninyi ni wakweli na uhalisia ni kwamba kwenye biashara za mtandao mifumo yake ni migumu kukutajilisha na huwezi kupata utajiri kiurahisi. Mfano wa biashara hizo ni kama zifuatazo:-

Forex na mfano wa hizo, hapa najua wapo wengi wanatamani kufanya biashara hizo na baadhi yao wanajigamba wana mafanikio makubwa, Du hapana nasema hapana! Naamini kabisa kati ya watu 100 wanaofanikiwa ni watu 3 hadi 5 na huo ni mtazamo wangu tu ila najua hata watu hao ni wengi sana na hii inaniuma sana.

Kwenye mfumo huo wa FX wanaofanikiwa naamini kabisa ni wale walioutengeneza mfumo huo wa biashara ukianzia na mifumo yao ya kufanyia biashara iwe MT4 au MT5 kute huko ni sehemu ya kuteketezea fedha.

Kwa mfano mtu anaweza kuweka USD 200 lakini ndani ya dakika 20 akawa amepata hasara ya hela yote sasa hiyo ni biashara kweli! Hapana mtamaliza hela zenu bure ni bora hiyo USD 200 zaidi ya TSH 400,000/= ukafanyia biashara nyingine au huu ni uongo? Hata biashara ya nyanya huwezi kupata hasara hiyo yote kwa mpigo ni biashara kweli hiyo au balaa!

Mimi naamini kabisa hakuna biashara ya kukupatia faida kwa mkato na ukawa tajiri zaidi ya kujituma na kuwa mbunifu katika biashara ndogo unayoanza nayo wewe mwenyewe kuliko hizi zinazohamasishwa na vijana.

Wengine wamegeukia kubashiri michezo mbalimbali kwa kuangalia dau linalowekwa, ndugu yangu nako huko usithubutu utamaliza pesa zako tu, kupatia timu zote hasa kwenye JACKPOT sio mchezo ndio maana wanaobashiri wanaweza kuwa 100000 lakini asipatikane hata mmoja, kwenye hii michezo hakuna cha odd ndogo wala kubwa wengi wanalia na faida inaend kwa yule aliyetengeneza mfumo huo ila nyie mnaliwa tu.

Ukija kwenye biashara zenye sura ya upatu kama forever na nyinginezo nazo hamna jipya chini ya jua, ninauzoefu nayo na nimeifanya simaanishi ni biashara mbaya bali uwezo wa kufanikiwa ni mdogo sana wala hatipaswi kudanganyana. Ni vema mtu unapomhamasisha ajue kwamba biashara hiyo ni nzuri ila pia ni ngumu sana kwa mfano unapewa bidhaa/virutubisho uuzie watu ili wanunue na kwa sababu utawaaminisha kwamba zitawasaidia halafu wao wananunua na haziwasaidii au unamuunganisha mtu kuingia kwenye biashara hiyo kwa zaidi ya Tsh210, 000/= Za kianzio ambapo akishaingia anawaza tu kuwa tajiri bila kujua kwamba wakati mwingine hata bidhaa alizopewa kwa kuanza nazo wakati mwingine hata hazipati wateja! Mwishowe unavunja urafiki naye na kuwa maadui,.

Ni heri sisi tubadilike na tujue biashara zinazoendelea mitandaoni zinamaliza na kukausha fedha tunazozitafuta kwa nguvu na jasho letu na hizo fedha zikiteketea huko tunabakia hatuna wa kumlaumu zaidi ya kuumia mioyoni mwetu tu.

Nawaomba ndugu zangu tufanye kazi kwa bidii na tuwe wabunifu kwa kutengeneza vyanzo sahihi vya fedha na usihadaike na kudanganywa kuingia kwenye biashara ya mtandaoni bila kuwa na elimu ya kutosha kwani huko unaweza kuishia kulia tu.

ASANTENI SANA.
Kweli umenena
 
Back
Top Bottom