Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Toka Mh Rais John Pombe Magufuli ashauri kuwa tunaweza kujishonea barakoa wenyewe, hivi sasa miji imejaa watu waliovaa barakoa za kushona.
Barakoa za kushona imekuwa biashara mpya hapa Tanzania. Kila kona unakuta zinauzwa. Machinga wameingia mjini wakiuza barakoa za kushona.
Simaanishi kuwa barakoa za kushona hazifai, bali njia yake ya uzalishaji na usambazaji sio salama kabisa.
Ukitazama mazingira ya hizi barakoa zinavyotengenezwa, kutunzwa na kusambazwa hadi zinapomfikia mtumiaji, si salama kabisa.
Huwezi amini barakoa sasa zinatembezwa kama boxer au nguo za kuvalia ndani. Kila mtu anashika na kuchagua atakayo.
Tusishangae hizi barakoa ndyo zikawa njia nyingine kubwa ya kueneza maambukizi ya covid 19. Sio kila mtu anaweza tengeneza barakoa kwa usalama.
Serikali kama inawapenda wananchi wake hasa wale wanyonge ( wanunuzi wakubwa wa barakoa za kushona) inatakiwa ipige marufuku haraka uuzaji holela wa barakoa za kushona.
Hivi kweli Serikali imeshindwa hata kuingia ubia na kampuni zinazozalisha mifuko na kutengeneza barakoa zilizo salma?
Kuna vitu tunavizembea na vitatucost
sana.
UPDATE.
MOODS NAOMBA MFANYE MAREKEBISHO KWENYE KICHWA CHA HABARI. KUNA TYPING ERROR.
Sent using Jamii Forums mobile app