Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,758
- 14,680
Samahani napenda kutoa Tahadhali kwa wale wenye kuhisi wananipenda!
Nawashauri wasinipende Kimapenzi wanipende kawaida kama YESU na shetani
Kupenda huku Vepe?!
Kutaka kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi
Wengi wao waliojaribu walikufa
Kama hauamini we soma stori zangu zote utajua sababu
Ni hayo tu kwa Leo nimeona niwakumbushe mlionisahau!
Ps:
MIMI SO MCHAWI, NIMEOKOKA NAMPENDA YESU
AHAHAHAHAHAHA