BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 7,656
- 17,161
Ni
Ni heri kabisa, usimuogopeshe Saint AnneKikikikikiki huo usiku mwema kuna heri mkuu?
Ni heri kabisa, usimuogopeshe Saint AnneKikikikikiki huo usiku mwema kuna heri mkuu?
Hajui tu kama mimi nimefurahi sanaNi
Ni heri kabisa, usimuogopeshe Saint Anne
Oya saivi asubuhi..
Oh jamani
Akhsanteee Sana
Sipati notifications Jamani,hivi bila kupita kwenye huu Uzi nisingeona hizi jumbe.
Asante Sana
Nakupenda pia rafiki
Shukrani bossEeeh bhana..! Jua kabisa nakukubali sana mtoto mzuri.! You’re such a very humble being, i will be so much delighted having you as my date.!
Yep nilitaka ku reply comment flan ila system imeniletea kizungu zungu maana nimejikuta na quote karibu members 4BUSH BIN LADEN umefuta nini ??
Uliniquote.
Mtandao wao naona umeyumbaYep nilitaka ku reply comment flan ila system imeniletea kizungu zungu maana nimejikuta na quote karibu members 4
Mchana mwema kwako
Nimepitia uzi wote nikitarajia kukuta ujumbe mzuri toka kwako, ila nimekuta bila bila. My heart z broken, though i admire youMchana mwema kwako
Nakupenda
Nimepitia uzi wote nikitarajia kukuta ujumbe mzuri toka kwako, ila nimekuta bila bila. My heart z broken, though i admire you
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Amenhivi kumbe ni mchana..!!!
Haya mchana mwema wapendwa wote..wengine hatunaga usiku.
sawa, hebu ngoja nivumilie hadi ucku ufike
Umeniwahi kidogo, nilikuwa najipanga kukushushia ujumbe usiku
Sasa umeniwahi imebidi niandike tu mchana mwemasawa, hebu ngoja nivumilie hadi ucku ufike
Lakini haikuzuii kunipa na ujumbe usikuSasa umeniwahi imebidi niandike tu mchana mwema
Halafu mimi mwenyewe nimeisaka comment yako humu nikijua umenishushia insha, bahati mbaya sikuiona
Uzi nimeuona leo, time ile nacomment.Halafu mimi mwenyewe nimeisaka comment yako humu nikijua umenishushia insha, bahati mbaya sikuiona