Elections 2010 Tafuteni mawakala wakweli na waaminifu

Criticism

Member
Nov 3, 2010
40
0
Wakati rais jakaya mrisho kikwete anahojiwa na waandishi wa habari wakati wa kampeni 'live-itv' alisema:

"kama kila chama kina mawakala wake vipi kura zinaibiwa?"
ukiona hivo ujue hao mawakala ni bomu(hawafai) wana njaa hawajawezeshwa ipasavyo.

Chadema kubalini kushindwa nchi iwe na amani
 
Unakubali kushindwa on fair grounds,segerea it has taken 3 days ku announce matokeo uko nako miundo mbinu inasumbua kama makete au tunduru?
 
Wakati rais jakaya mrisho kikwete anahojiwa na waandishi wa habari wakati wa kampeni 'live-itv' alisema:

"kama kila chama kina mawakala wake vipi kura zinaibiwa?"
ukiona hivo ujue hao mawakala ni bomu(hawafai) wana njaa hawajawezeshwa ipasavyo.

Chadema kubalini kushindwa nchi iwe na amani

Hao mawakala wenye njaa wanahongwa na matajiri gani, CCM au..??
 
Kweli mawakala wa CHADEMA wametuangusha sana. Mimi nilipiga kura kituo cha Kentony 'A" hapo maeneo ya Africa Sana- Mwenge. Nilifika kituoni kama dakika mbili kabla ya kituo kufungwa- So, nilikuwa wa mwisho kabisa.

Wakati naingia kituoni, nilikuta mzozo mkubwa kati ya jamaa mmoja na askari polisi wawili, mgambo na wasimamizi wa kituo. Kisa ? Kumbe jamaa alikuwa wakala wa CHADEMA lakini alifika kituoni saa 9.45 mchana.

Kwa hiyo walimkatalia kushiriki kuhesabu kura....... Haya yatakuwa yametokea katika vituo vingapi ?????????
 
Inaweza kuwa kweli mawakala wameangusha chama chao lakini ni lazima waibiwe? Au kwa lugha nyingine watu wanahalalisha wizi, kwamba kusipokuwa na mawakala ndo mmeliwa?
 
Back
Top Bottom