Tafuna nyuki upone nguvu za kiume


sadari

sadari

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Messages
315
Likes
341
Points
80
sadari

sadari

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2018
315 341 80
Ingawa wengi wanaonaga kichefu chefu kutafuna nyuki ila nyuki ukiwala sana sana wabichi wabichi wanasaidia sana kukuza uume na kuongeza nguvu kwenye uume kwa kuongeza msukumo wa damu kwenda kwenye uume na kupanua misuli ya uume

tatizo hill unapona kwa wiki mbili tu unapona moja kwa moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
16,872
Likes
16,099
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
16,872 16,099 280
Basi ni Bora nitafute Manyigu au manyugwi kwa sababu wanadunga mara kadhaa halfu wawafii kwenye kazi
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
26,944
Likes
35,730
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
26,944 35,730 280
Haaha " nyuki hawa hawa " !! Sasa mkuu " si-utasababisha nyuki na wao wawekwe kwenye list ya viumbe vinavyotaka kutowekea kama ambavyo ilivyo kwa faru " ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
14,002
Likes
4,524
Points
280
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
14,002 4,524 280
Ati nini?
 
TOEDSLOTH

TOEDSLOTH

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
826
Likes
1,397
Points
180
TOEDSLOTH

TOEDSLOTH

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2018
826 1,397 180
Ckuhizi nguvu za kiume ni moja ya bidhaa inayohadimika kwa kasi ya ajabu, nahisi tatizo ni hizi smartphone, punyeto inawamaliza vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
4,707
Likes
1,893
Points
280
Age
34
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
4,707 1,893 280
Kula Nyuki Au Wale Walioko Kwenye Masega? Mbona Hao Wanaliwa Tu Japo Si Kila Mtu Anakula Hao Nyuki Wachanga Ni Kinyaa
 

Forum statistics

Threads 1,272,363
Members 489,924
Posts 30,448,925