Tafsiri yangu ya katazo la Rais: Kuanzisha chama kipya marufuku!!!

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,114
Baada ya kutafakari kwa kina katazo la mheshimiwa rais la siasa 2020 kwa sasa no ! Bila shaka ni katazo pia la kutoanzisha chama kipya.

Utaanzishaje bila kujinadi?
Utanijinadi vip bila kukosoa vyama vilivyopo, kikiwemo kinachoongoza serikali, huku mkuu wa chama hicho anafikiri kukosolewa ni kukwamishwa kutekeleza ahad zake?? Utajinad wap bila kupewa jukwaa?? Utapita nyumba had nyumba?

Vyama vilivyopo subirn kujijenga wakat wa uchaguz . Yaan mwanafunz asome siku ya mtihan!
Kama ni tim ya taifa isubiri mwaka wa kombe la dunia ndio ifanye mazoez. Taifa stars subirn 2018
Ndio mfanye mazoez.

Uliepata eneo moja kuliongoza linakutosha hilo hilo !! Usiende sehem nyingne kueneza sera zako
Subir 2020.

Mwalim nyerere aliwahi kusema , maendeleo yatapatikana palipo na watu, ardhi na siasa safi.
Leo tunasema maendeleo yatakuja bila siasa.
Wanaccm na msio na vyama mshaurin kiongoz wetu matamko yake yanashida sana!!
 
hapo pa mwalimu nyerere umemaliza kila kitu pengine baada ya vizaz vya kina nyerere kutoweka vilivyobaki madarakani vina uwezo mdogo wa kufikir
 
Back
Top Bottom