mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,395
- 3,197
πππ yeah maisha ya kiswazi sanaIlolo na Kwa Jimu kama Manzese na Tandale! Ni maeneo hatarishi kwelikweli π π π
πππ yeah maisha ya kiswazi sanaIlolo na Kwa Jimu kama Manzese na Tandale! Ni maeneo hatarishi kwelikweli π π π
Came from the horses mouth itself kabisa..Watu wanapotoshana, fanya enquiry fupi sana, hili neno lilizaliwa kinywani mwa watu ambao ulimwengu wao ni wa nyuma sana, au hawana hela (wakijiita wagumu), watu wasiotaka kubadili muelekeo wa maisha yao, watu wanaodhani maisha ya kimaskini ndio stahiki Ya maisha ya mwanamume
KY Jelly na kitanaMhm mkuu uko na dressing table ndani? Umeweka vitu gan hasa kwa hyo dressing table sasa?
Wengi wenu mnatokaga mikoani halafu mnasumbua wenyejiWA MIKOANI NI WAZEEE WA NGUNA N halafu mnasumbua waGUMU, HAO WA DRESSING TEBO MIKOANI NI WASORIZIKI, USIJARIBU KUTURINGANISHA NA HAO MIDEBWEDO WA DAR, WASUGULIWA MIGUU NA KUCHA
Acha kupotosha mwanaume wa dar wanaishi Dar??UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR
Wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc., wewe pia ni mwanaume wa Dar.
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Darββββ
3. Uko Arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa usiku, wewe ni mwanaume wa Dar.
4. Unaishi Kigoma ila TV show unazoangalia ni Shilawadu, Chereko na Ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar.
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar.
6. Uko Iringa ila unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol wewe ni wa Jiji la Makonda
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob Risky, James Delicious na Kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar, tena Uwanja wa Fisi.
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndani, wewe ni mwanaume wa Dar.
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndiyo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar.
10. Unaishi Mtwara ila unaweka status picha ishirini, wewe ni mwanaume wa Dar.
Amani iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani.
COPIED
Watu wanapotoshana, fanya enquiry fupi sana, hili neno lilizaliwa kinywani mwa watu ambao ulimwengu wao ni wa nyuma sana, au hawana hela (wakijiita wagumu), watu wasiotaka kubadili muelekeo wa maisha yao, watu wanaodhani maisha ya kimaskini ndio stahiki Ya maisha ya mwanamume