LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,075
- 27,017
Hakunaga
Hakunaga
ewaa ushaelewa sasaKwahio unamaanisha kwamba ili uweze kujua tofauti kati ya sentensi hizo mbili ni lazima kuwe na maelezo ya ziada sio
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, sawa kwahio kwahio ukiambiwa 'he is married' kichwani ni lazima uweke mawazo ya aina mbili,kaoa,au kaolewa maana sentensi ni hiohio?Kila lugha ina mfumo wake, tukisema tulazimishe lugha ya kingereza iwe kama ya Kiswahili, itakuwa ni balaa.... Kuna baadhi ya matendo kwa Kiswahili kuna mtenda na mtendwa, Kwa minajili ya kuowa / kuolewa kwenye kingereza hamna mtenda wala mtendwa (Kwa ufahamu wangu mie). Kama walivyosema hapo kwa kingereza.
Kumbe 'This man has married' inakubalika?1.this man is married
2.this man has married
Malizia by someone.. mweka mada atatusumbua tu huyu! Mwishowe tutafika kwa vishazi vihisishi na kandamizi bila kusahau vishazi fumanizi.
Ok, sawa kwahio kwahio ukiambiwa 'he is married' kichwani ni lazima uweke mawazo ya aina mbili,kaoa,au kaolewa maana sentensi ni hiohio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwingine huko duniani wanaume si wanaolewa?Mleta mada mwanaume anaolewaje....tuchukulie no.1 ni KE....1.This woman is married 2.This man is married.