Tafsiri ya Sentensi hizi kwa lugha ya Kiingereza ni ipi?

Kila lugha ina mfumo wake, tukisema tulazimishe lugha ya kingereza iwe kama ya Kiswahili, itakuwa ni balaa.... Kuna baadhi ya matendo kwa Kiswahili kuna mtenda na mtendwa, Kwa minajili ya kuowa / kuolewa kwenye kingereza hamna mtenda wala mtendwa (Kwa ufahamu wangu mie). Kama walivyosema hapo kwa kingereza.
Ok, sawa kwahio kwahio ukiambiwa 'he is married' kichwani ni lazima uweke mawazo ya aina mbili,kaoa,au kaolewa maana sentensi ni hiohio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada mwanaume anaolewaje....tuchukulie no.1 ni KE....1.This woman is married 2.This man is married.
 
Back
Top Bottom