UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar♂♂
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol wewe ni wa Jiji la Makonda
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, wewe ni mwanaume wa Dar
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar
Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani
COPIED