Tafsiri ya neno #dikteta katika kamusi ya Kiswahili

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
617
1,541
1469908030155.jpg


Wengi wamekuwa wakiomba tafsiri ya Neno #DIKTETA, Kwa pamoja tuisome halafu tutafakari kwa pamoja.
 
Udikteta ni mbaya na wa kupingwa kila kona ya nchi.Siku dikteta akikufikia utakuwa huna MTU wa kukuhurumia maana wote tutakua kwenye mateso makali au tumeishauliwa
sawa tumekuelewa mkuu lakini kumbuka hayo ya tume kuundiwa tume ndo yametufikisha hapa..
#HAPAKAZITU
K
 
Mmmmhhh hiyo kamusi agano la kale!tafuta agano jipya lake lilitolewa mwaka huu uone dikteta yuko vipi
 
Back
Top Bottom