Tafsiri ya mnyumbuliko maizi kizani ni tofauti na uhalisia nuruni

Mungu atupe macho ya rohoni na atufungue akili zetu ziweze kufikiri na kuchanganua mambo kwa urefu na mapana yake, ili tuweze kuijua kweli, ili hiyo kweli ituweke huru nasi tuwe huru kwelikweli
Amina Mtumishi.
 
Kuna vitu tunaviona ni vidogo sana maishani na hatuvipi umuhimu wowote, lakini vimebeba maana kubwa sana nyuma yake
Wenzetu wenye kuwaza zaidi ya kuwaza wamevifuatilia, kuvifanyia utafiti na kupata majibu ya kushangaza mno.....
Uhalisia wa mwanadamu kizani ni picha pindu ama ni kinyume na uhalisia wa nuruni... Yaani kwenye macho ya gizani.. Tafsiri pana zaidi ni rohoni picha asili inayokuja kwa mara ya kwanza ni picha ama umbo pindu ama picha kinyume...

Mboni ya jicho ambayo kiuhalisia ndio taa iletayo mwanga wa uono picha ama umbo la asili linaloikamata ni picha pindu ama ama umbo kinyume... Na baadae taarifa hupelekwa kwenye medulla na kurekebishwa... Lakini hapa itategemea mboni iko kwenye uono gani... Wa kizani ama nuruni? Kama ni wa kizani basi medulla itajitahidi kurekebisha taarifa husika ili mambo yaende sawa... Kitu ambacho ni kigumu mara nyingi.. Lakini kama ni kwenye uono wa nuruni basi automatically kila kitu kitaenda sawa
Mifano ipo mingi na hata sasa asubuhi hii ukijiandaa na mishemishe unaweza kujaribu... Kumbuka uono wa kizani si lazima kuwe na kiza la hasha bali hata kufumba macho ni uono wa kizani
Sasa basi fumba macho kisha sogelea kabati lako la nguo ukiwa na nia ya kufungua mlango wa kushoto ama kulia... Ukishaushika fumbua macho utajikuta umeshika ambao sio... Mara chache mno watu hupatia...
Huo ulikuwa ni mfano mmoja tu lakini kuna nguo, vidani, viatu nknk... Ukikivaa gizani lazima utakosea kwa tafsiri ya macho ya nuruni... Kama ni nguo utageuza nje ndani ama nyuma mbele, kama ni saa hivyo hivyo nknk
Vitu vichache ambavyo hutakosea ni vile vyenye alama maalum kama kofia za kapelo, viatu nk...
Hapa tunapata nini? Hapa tunapata dhana mbili au tatu hivi...
. Ufahamu wa uono kiroho ni tofauti kabisa na ufahamu wa kimwili nuruni
. Asili ya matendo yetu tafsiri zake na fikra tengefu hurekebishwa na kufanyiwa uwiano macho ya mwili yanapokuwa angavu nuruni
. kwamba kila kitu kiasili kina uwili usioshabihiana... Yaani juu/chini, hasi /chanya, kushoto /kulia, mbele/ nyuma nknk
Na ukitaka ithibati zaidi juu ya hili ni kwamba fumba macho kisha tembea... Utajikuta usipoenda kulia basi utaenda kushoto... Ni ngumu mno kwenda mstari mnyoofu ukiwa katika macho ya kizani... Kwa hiyo mboni za macho ndio kipima rada na kuleta uwiano usiokinzana na uhalisia.....
Tunapozungumzia jicho la tatu tafsiri yake halisi ni jicho la kiroho na ndio maana kuna baadhi huhoji wale wavutao bangi na kuanza kufanya vitu vya ajabu.... Hii hutokea kwasababu jicho la nuru linakuwa limezingwa hivyo basi
Penye kina kirefu baadhi ya wavutaji huona ni kirefu
Upande wa kushoto huona wa kulia
Mdogo humuona ni mtu mzima kabisa na shikamoo atampa
Mashimo madogo atayaona ni madimbwi makubwa anaweza hata aanze kuruka....
Hali hii hutokea pia kwa walevi ndio maana wengi huenda kulia ama kushoto
Hapa mnyumbuliko maizi/tambuzi unakuwa haufanyiwa mchakato wa utambuzi ili kuleta uwiano wenye uhalisia katika maisha... Hawa tunaowaita vichaa tatizo lao ni kufungwa kwa mboni ya jicho inayoleta uwiano kwa kurekebisha taarifa zote zitokazo kwenye chimbuko la uono.. Jicho la kizani ama jicho la rohoni....

Jr
 
Asante sana kwa nondo hii @Mshana_Jr
 
Lugha imenichanganya hapo Mshana,kama kuna source nyingne nielekeze niongeze maarifa

kwenye bangi mfano huo hauendani labda kuna mihemko mtu anapitia tu ila cannabis ni zaidi kwakwel

.
5b5aaf8226ed453f7704456b85228505.jpeg

Jr
 
Back
Top Bottom