Tafsiri ya maeneno haya ya tasnia ya maendeleo ya jamii

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Kila nikikutana na maneno haya katika shughuli zangu natatizwa kupata kiswahili sahihi:


  1. Vision
  2. Mission
  3. Assumptions
  4. Objective
  5. Goal
  6. Activities
  7. Outcome
  8. Output
  9. Risks

Naomba msaada
 
Back
Top Bottom