Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,400
- 1,501
Katika pitapita zangu nimeona page EAST AFRICA TV wakipost Polepole akimuita Tundu Lisu ni mpumbavu.
Sasa nikajiuliza kumuita mtu tena kiongozi wa Chama kikubwa ukiwa public ni mpumbavu siyo lugha yenye ukakasi..
Je kama Tundu kisu au kiongozi mwingine wa CHADEMA au chama chochote cha upinzani angemuita mhombea wa CCM au kiongozi mwingine wa juu ni mpumbavu viongozi au taasisi za Serikali zisingemchukulia hatua Kali ..ikiwemo hata media yenyewe kufungiwa.
Mamabo yanayoendelea Tanzania kwa sasa yanaoghofya!
Sent using Jamii Forums mobile app