Tafsiri ya lugha za matusi na yanayoendelea nchini

Al assad

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
1,094
2,000
Katika pitapita zangu nimeona page EAST AFRICA TV wakipost Polepole akimuita Tundu Lisu ni mpumbavu.
Sasa nikajiuliza kumuita mtu tena kiongozi wa Chama kikubwa ukiwa public ni mpumbavu siyo lugha yenye ukakasi..
Je kama Tundu kisu au kiongozi mwingine wa CHADEMA au chama chochote cha upinzani angemuita mhombea wa CCM au kiongozi mwingine wa juu ni mpumbavu viongozi au taasisi za Serikali zisingemchukulia hatua Kali ..ikiwemo hata media yenyewe kufungiwa.

Mamabo yanayoendelea Tanzania kwa sasa yanaoghofya!
Screenshot_20200905-120415.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,593
2,000
Polepole ni empty head a.k.a tabulalasa , hata Lipumba , alisema njaa ikitoka tumboni ikaenda kichwani ni hatari sana .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom