Tafsiri ya Kitanzania ya Ugaidi, uchochezi na kuvuruga amani na umoja wa kitaifa

Hii nchi ya watu fulani siye atuna chetu ..wanafanya watakavyo ....
 
Hamatan maelezo yako yangepaswa yaeleweke na kila Mtanzania ambaye akili yake ni wastani tu lakini nina hofu akili ya wastani ya sisi Watanzania wote inateremka kiasi gani tangu tulipodai Uhuru kwa Mkoloni na kupewa huo uhuru, hasa utakapojibiwa na Mtanzania mwenzio kuwa mtu anayedai utawala bora hapa Tanzania ahamie Burundi!
Ni jambo la kusikitisha sana pale ambapo dola inapoamua kuwaandama watu wenye uelewa, na kuwafurahia watu wasiohoji. Tukienda namna hii, tunajenga Taifa la manunda, Taifa la watu wanafiki, wanaoshindwa kusimamia mambo wanayoyaona ni ya haki.
 
Bado tutaendelea kuchafuka watu hawataki kushindana kwa hoja
20220130_101433.jpg
 
Mimi nangoja hukumu,Kwa Kweli,nisikilize kabisa mtiririko wa Maamuzi ya Mahakama mpaka Mbowe Na Wenzake,kuhukumiwa adhabu sitahiki ya makosa wanayotuhumiwa likiwemo Ugaidi..Jaji atakavyokuwa ana unganisha huo ushahidi wa,nyamachoma,sms-muda unaisha,sijui Rau,nililipa Chakula,VIP Protection,etc.Sheria nipo mweupe mno..
 
Back
Top Bottom