Ni jambo la kusikitisha sana pale ambapo dola inapoamua kuwaandama watu wenye uelewa, na kuwafurahia watu wasiohoji. Tukienda namna hii, tunajenga Taifa la manunda, Taifa la watu wanafiki, wanaoshindwa kusimamia mambo wanayoyaona ni ya haki.Hamatan maelezo yako yangepaswa yaeleweke na kila Mtanzania ambaye akili yake ni wastani tu lakini nina hofu akili ya wastani ya sisi Watanzania wote inateremka kiasi gani tangu tulipodai Uhuru kwa Mkoloni na kupewa huo uhuru, hasa utakapojibiwa na Mtanzania mwenzio kuwa mtu anayedai utawala bora hapa Tanzania ahamie Burundi!
Hana msimamo.Ni mpima upepo tu.Lowasa alijua Hilo ndomana akaja na elimu elimu elimu